Mwanamke akikupenda anaweza kukupatia mtoto asiye wako

Ww Acha tu Mkuu!! Japo Mama Mzazi wa Bint Anafaham!! Lakin kauchuna!!!

Nyumban Niliwah mwambia Mzee wangu!! Akaniambia Nifunge Bakuli(mdomo) kabisa!!!

Yaan nikae mbali kama ni damu huwa haipotei!...

Ndo hvo!! Naacha liende tu:
Amesha zaa na huyo polisi?
 
Acha wenge wewe, hata mzee Abdul na mondi wanafanana kimtindo[emoji3]
 
We ni mwenyeji wa Iringa?
 
Sijui kwanini siku zote wanaume wamekuwa watu wa kutupa Lawama kwa wanawake kana kwamba wanaume hawana makosa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…