Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

fyddell kumbe mfuko kutoboka kama kawa😂
Mbona ni kawaida palipo na mapenzi ya kweli mkuu.? Love is all about intensive feelings of caring, protection and creativity. Mfanye akupendae ajivunie kila anapokuwa pembeni yako na anapokuwa mbali haishi kukuwaza sawa mkuu?
Haha The patriot man mwenyewe anatestify hiki kitu😄
 
Kabisa shouga, akizingua unatoa mguu unachapa lapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi uko nae kwa lengo lako fulani na si kujenga uhusiano imara. Kwako naona hakuna yale mapenzi ya mkigombana mnanuniana hata wiki then mnajikuta mnamissisana alafu kila mmoja anatafuta sababu ya kurudisha ukaribu😀
Kwa style hiyo ya "Akizingua unatoa mguu unachapa lapa" hautadumu kwenye mahusiano na utabaki kurukaruka mwisho wa siku unakuja kushtuka it's too late for your wedding bells to heard😄😄
 
A'm in love rafiki yako[emoji4]

There's this girl called Lovie Lady, her laugh makes me smile and her eyes are my favorite color. The way she talks gives me butterflies[emoji3059][emoji2956][emoji3059]

You know what rafiki yangu Hornet?
The best thing about her.....
She's MINE[emoji817][emoji3590][emoji182][emoji3590]

Wa ooh that’s great…

All the best
 
Basi uko nae kwa lengo lako fulani na si kujenga uhusiano imara. Kwako naona hakuna yale mapenzi ya mkigombana mnanuniana hata wiki then mnajikuta mnamissisana alafu kila mmoja anatafuta sababu ya kurudisha ukaribu[emoji3]
Kwa style hiyo ya "Akizingua unatoa mguu unachapa lapa" hautadumu kwenye mahusiano na utabaki kurukaruka mwisho wa siku unakuja kushtuka it's too late for your wedding bells to heard[emoji1][emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23] ko km haeleweki niendelee kukaa naye?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ko km haeleweki niendelee kukaa naye?
Je ulishaongea nae kuhusu mustakabali wa mahusiano yenu? Kama ulishafanya hivyo na hana majibu ya kueleweka ni bora kumweleza ukweli kuwa hauko radhi kuwa kwenye mahusiano yasiyo na malengo. Sasa unaposema akizingua tu unachapa lapa meaning bado ujampenda bali unamsikilizia ili umpende. Sijui umenielewa hapo?
 
Back
Top Bottom