YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Je ulishaongea nae kuhusu mustakabali wa mahusiano yenu? Kama ulishafanya hivyo na hana majibu ya kueleweka ni bora kumweleza ukweli kuwa hauko radhi kuwa kwenye mahusiano yasiyo na malengo. Sasa unaposema akizingua tu unachapa lapa meaning bado ujampenda bali unamsikilizia ili umpende. Sijui umenielewa hapo?
Kaka una moto wa mapenzi wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nitafata ushauri wako, ngoja nianze kumtafuta huyo wa kupendana naye kwanza [emoji12]