Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi


Kaka una moto wa mapenzi wewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sawa nitafata ushauri wako, ngoja nianze kumtafuta huyo wa kupendana naye kwanza [emoji12]
 
Kaka una moto wa mapenzi wewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sawa nitafata ushauri wako, ngoja nianze kumtafuta huyo wa kupendana naye kwanza [emoji12]
Sio huyo uliyenae tena?😄 Jaribu kurekebisha kwanza😊
Haha sio Moto Bali mapenzi yalisetiwa na Mungu mwenyewe kwaajili yetu. Bila mapenzi dunia haitakuwa sawa, tatizo ni pale unapompata ambaye sio sahihi yaani hamko katika Kariba moja.😄😄
 
Sawa Ila kwa kudra za Mungu na si kwakutaka binadamu wakati njia yetu tunajaribu kujijenga na kuwa imara zaidi. Kama waliweza mababu na mabibi zetu mpaka tunakuwa wakubwa hivi wako pamoja itashindikana vipi though tumezungukwa na viroboto vingi? By the God's grace yote yanawezekana😊
 
haki nampenda sana Don wangu
I love to hear such a word from you😊. Ukiona wenzako wanapendana uwe na wivu wa uhusiano wako na mtu wako uwe kama wao. Lazima tutengeneze upendo kwa watu wote, ni mbaya na inaumiza unaposikia rafiki yako kashindwana na mwenzake kwasababu zisizo na mashiko. Je walijaribu kutafuta muafaka? Ila kama wameshindwana kwasababu ambazo ni genuine, ambazo sitakuja kumharm mmoja wapo ni bora kujiepusha mapema.
 
Kabisaa mkuu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

Niliyenaye unamjua?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mtaachana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri wako hua mnatukanana ndio mnapatana halafu unamsikilizia na yeye ana kusikilizia baadae mtapata hatma yenu tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaaaaaaaaa!!!! Wewe mbona km unanijua sana? Unafatiliaga kashikashi zetu nini?

Na tukigombana tunapitana shwaaah km hatujuani vileeeee! Hasira zikiisha tunamisiana tunaendelea afu tunajicheka wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…