Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

Wanawake wote wanapenda kusifiwa mkuu awe wako na hata unaokutana nao barabarani

Apendeze asipendeze, awe mzuri asiwe mzuri

Ndio hulka yao na unaweza kumpata kwa kumsifia tu
 
Tafuta pesa utimize ndoto na mafanikio yako, hizo zingine zote ni mbwembwe na uongo. Watakuigizia mpaka akili zikukae sawa, ndio utaacha kushabikia mambo yasiyo na msingi maishani mwako. Mwanamke anasifia hata nadereva wa uber naanafurahi. Komalia maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah utakubali tuu...uzur n mkweli akitoka ku perform anakuambia.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kudanganya hawezi lazima aseme!!!

Namtafutia babu (Witch dr) nampiga nyungu ananiona mimi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…