Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

Hii kiboko asee, Mademu wengine waongo waongo, anakuambia nimeenda sunrise beach resort na sister kumbe yuko na mshikaji.
Sio tu yuko na mshikaji bali ukuni wa mchizi uko jikoni unapashwa joto wakati amepokelea simu yake akiwa kifuani kwako!
 
Wewe huyo manzi atakuwa mbovu, mbaya,amekuzid umri,mgonjwa..
Shauri yako
 
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu... Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.

Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.

Daah, nikawa mpole... Akanichana sana pale... Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.

Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.

Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.

Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love... Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.

Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.

Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.

View attachment 1888018
She is matured, akili kubwa.
 
Mkuu unakula hela za wanaume wenzako, kuna boya linamtunza huyo manzi ila halipendwi unapendwa wewe hivyo basi mmehongwa wote.
 
Hapo imaanisha kaliwa na njemba yenye hela na imempa pesa ya maana. Hasira zake zimeisha na ili kuridhisha nafsi yake juu ya kuliwa kwake asijione msaliti ndio kakuletea hiyo zawadi.

Kwa kifupi unajipulizia manukato yaliyotakana na kulalwa mpenzi wako.
 
Wanawake wengine cjui wanafeli wapiii,
Yani ukosewe, uchuniwe bado msamaha uombe wewe woiiiiii
 
Na yeye anakucheat ila tofauti haujamfumania
 
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.

Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.

Daah, nikawa mpole. Akanichana sana pale. Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.

Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.

Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.

Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love. Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.

Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.

Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.

View attachment 1888018
Wanawake wengi kuliko wanaume tambua hilo.
 
Kama hajapiga stata uendelee, bas umejikaanga na mafuta yako.
 
Jiulize kakuunulia yeye au umenunuliwa na mwanaume mwenzio alafu unakenua...😀😀😀
 
Back
Top Bottom