Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

Mtoa mada amezungumza kilichomo akilini mwake tu Wala hajafanya utafiti wa kina
Amesema mpaka mwanamke kucheat inahusisha mambo mengi lakini hujadadavua tuelewe

Umezungumzia male perspective tu, maelekezo yaha hayajahusisha female perspective
Hivi unajua sio Kila mwanamke anayecheat anafanikiwa kuenjoy wapo wanaojutia kucheat pengine alidhani akicheat atapata furaha na matokeo yake anagundua alifanya makosa makubwa na hiyo guilt inamtafuna hatakama mmewake hajamfuma.
Wanaume tunapenda kujihesabia haki
Tunajiona tunahaki ya kucheat
 
Well said, kaongea tu kilichopo akilini mwake
 
Kwanini wanaume wanaona kucheat ni haki yao?. Hili hua linanishangaza sana
 
Usimuache bali mpandishe cheo awe tu mke mkubwa apakie kama zilipendwa, lakini mahaba na tamu yote unaipata na kuitoa kwa mke mdogo...
Utakuwa unatafuta maradhi ndugu yangu, wanawake wengi linapokuja jambo la mahusiano huwa hawana decisions wanazosimamia, anachoamua mwanaume ndiyo mara nyingi huwa wanafata, ukisema no condoms wanaweza kutii hata kama wanafahamu inaweza kuwa hatari. Mie nilishajiwekea msimamo, akicheat off she go, tofauti na hapo mnaweza kuacha watoto mayatima.
 
Mtoa mada amezungumza kilichomo akilini mwake tu Wala hajafanya utafiti wa kina
Amesema mpaka mwanamke kucheat inahusisha mambo mengi lakini hujadadavua tuelewe

Umezungumzia male perspective tu, maelekezo yaha hayajahusisha female perspective
Hivi unajua sio Kila mwanamke anayecheat anafanikiwa kuenjoy wapo wanaojutia kucheat pengine alidhani akicheat atapata furaha na matokeo yake anagundua alifanya makosa makubwa na hiyo guilt inamtafuna hatakama mmewake hajamfuma.
Wanaume tunapenda kujihesabia haki
Tunajiona tunahaki ya kucheat
Hao wapo ila ni wachache sana. Na ikitokea hao wachache wamecheat, hawez kucheat mwanaume wake ukiwa upo karibu, labda uwe upo mbali na muwe Kuna ugomvi. Na pia ni lazima ashauriwe na mashoga zake. Lakin under norma circumstances, mwanamke kucheat hata kama upo mbali na kwa sababu yoyote Ile, sio salama kwa wewe mwanaume kimwili na kiroho. Hiyo sababu aliyotumia kucheat je haitajirudia Tena? Maisha ni mzunguko na makosa hujirudia.
 
Mtoa mada amezungumza kilichomo akilini mwake tu Wala hajafanya utafiti wa kina
Amesema mpaka mwanamke kucheat inahusisha mambo mengi lakini hujadadavua tuelewe

Umezungumzia male perspective tu, maelekezo yaha hayajahusisha female perspective
Hivi unajua sio Kila mwanamke anayecheat anafanikiwa kuenjoy wapo wanaojutia kucheat pengine alidhani akicheat atapata furaha na matokeo yake anagundua alifanya makosa makubwa na hiyo guilt inamtafuna hatakama mmewake hajamfuma.
Wanaume tunapenda kujihesabia haki
Tunajiona tunahaki ya kucheat
Endelea tu kumsamehe uyo mwanamke wako usha lose frame kwake haujiwezi na anakuburuza.

Mwanamke akisha kusaliti, maana yake kaona wewe huna maana tena kwake na hahitaji tena kuwa na wewe.
Hakuna habari ya kuongelea kwenye male perspective wala kitu gani.

Asili iko hivyo na huwezi pingana nayo na ukipinga jiandae kuangamia tu, kwa sababu haina huruma ikikukuta.

Kwa hili chapishao lako sito shangaa kama una sapoti habari za haki sawa.
 
Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile.

Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria.
Mada ishajadiliwa sn humu,

Usichukulie mapenzi serious saaaana mkuu.
 
Kwanini wanaume wanaona kucheat ni haki yao?. Hili hua linanishangaza sana
Hili mbona tumefundisha sana hamuelewi? Mwanamke akigawa mbususu maana yake kampenda huyo aliyemgea(achilia mbali wanaojiuza), so kama nimemuoa halafu akagawa mbususu kwingine, maana yake upendo umehama kutoka kwangu kwenda kwa mwingine, ndomaana mkichepuka, mnaanza kumdharau mume kwasababu hamumpendi tena kama mchepuko wenu.

Hiyo ni hatari kwasababu anaweza kuniua ili aendelee kula raha na mchepuko. Mwanaume akichiti ni kwasababu ya tamaa, ndomaana mwanaume anaweza akawa na michepuko lakini akaendelea kumpenda mno mkewe na kumjali sana, kwasababu hajachiti kwa kuhamisha upendo, anachiti kwa tamaa, mwanamke ndo anachiti kwa kuhamisha upendo mazima.

Ndomaana kwenye Biblia (Mathayo 5:31-32) inasema kosa la kumuacha mke ni uasherati tu, makosa mengine huruhusiwi kumuacha, muache kwa uasherati tu, unafikiri kwanini Mungu kataja upande wa mwanamke pekeyake na siyo mwanaume? Anajua kuwa saikolojia ya watu hao wawili ni tofauti, kwahiyo tufuate maandiko.
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Waebrania 13:4
 
Hili mbona tumefundisha sana hamuelewi? Mwanamke akigawa mbususu maana yake kampenda huyo aliyemgea(achilia mbali wanaojiuza), so kama nimemuoa halafu akagawa mbususu kwingine, maana yake upendo umehama kutoka kwangu kwenda kwa mwingine, ndomaana mkichepuka, mnaanza kumdharau mume kwasababu hamumpendi tena kama mchepuko wenu.

Hiyo ni hatari kwasababu anaweza kuniua ili aendelee kula raha na mchepuko. Mwanaume akichiti ni kwasababu ya tamaa, ndomaana mwanaume anaweza akawa na michepuko lakini akaendelea kumpenda mno mkewe na kumjali sana, kwasababu hajachiti kwa kuhamisha upendo, anachiti kwa tamaa, mwanamke ndo anachiti kwa kuhamisha upendo mazima.

Ndomaana kwenye Biblia (Mathayo 5:31-32) inasema kosa la kumuacha mke ni uasherati tu, makosa mengine huruhusiwi kumuacha, muache kwa uasherati tu, unafikiri kwanini Mungu kataja upande wa mwanamke pekeyake na siyo mwanaume? Anajua kuwa saikolojia ya watu hao wawili ni tofauti, kwahiyo tufuate maandiko.
Umeeleza vizuri japo unahalalisha uasherati kwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom