Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

Mi nipo tofauti mwanamke wangu akifanywa nje nikijua basi napenda niwe namfanya kila saa.
 
Kwa mtazamo wangu suala la mwanamke kucheat au kugawa mbususu kwa wenye uhitaji limekuwa suala la kawaida kwa dunia ya sasa chanzo ni tamaa na njaa.
Ndio maana simshauri mtu kuoa hovyo hovyo kwa haya maisha bila kumchunguza na kumjua vizuri bimti
Maana asilimia kubwa ya wanawake ni wadangaji
 
Usimuache bali mpandishe cheo awe tu mke mkubwa apakie kama zilipendwa, lakini mahaba na tamu yote unaipata na kuitoa kwa mke mdogo...
Teh teh teeeeh!
 
Naona wasemaji wetu mpo kazini, good job.
 
Mwanamke malaya hafai ila hii ya kusema mwanamke mpaka awe deep ndo alale na mwanaume mwingine huwa tunajidanganya.

Mwanamke anaweza lala na mwanaume sababu ya nyege zake tu na baada ya hapo asitake tena kumuona huyo mwanaume.

By the way ukitaka kujua mwanamke anaweza kulala na wewe bila mapenzi yoyote mkute akiwa na shida ya rejesho vikoba siku ya deadline mwambie alifuate rejesho nyumbani kwako, atakachokifanya akimaliza usimpe rejesho sababu keshakupenda, mwombe tena siku nyingine akupe sababu kakupenda.
 
Naona mnavyojipa nafasi ya kuwanyanyasa wanawake kisa akicheat ataachwa, mara nyingi sababu ya wanawake kucheat zinatokana na wanaume au waume zao, nyie semeni tu ila mpaka ugundue mwisho wa dunia huu hapa, ingekuwa rahisi kugundua watu wasingelea watoto wa nje bila kujua
 
Ila mpka upate ushahidi 100%
 
Mwanamke msaliti ukimuacha unapata amani ya nafsi,hata kama utamuacha lakin mtakuwa bado mnakutana na kunyanduana huku ukimchukulia kama michepuko mingine utapata amani sana,ila tu uwe umemuacha kutoka moyoni haijalishi ulimpenda kiasi gani.ikiwa umemuacha kutoka moyoni unapata amani sana kuliko ukimsamehe na mkaendelea kuishi...unaweza tu kumsamehe endapo chanzo cha kumfanya akusaliti ni wewe mwenyewe ndio umesababisha tena kwa sababu zenye mashiko,unaweza kumsamehe ukabadilika wewe kwanza naye kama ana mapenzi ya kweli atajuta na kurudi kwenye njia kuu kiukweliukweli..ila mimi binafsi siwezi kumsamehe ikiwa nina uhakika 100 asilimia kuwa huyo jamaa yake aliipitisha pale ninapopitishaga mimi,labda kusiwe na ushahidi kamilifu.
 
Bado ujasema mkuu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

"""kwasababu kucheat kwa mwanamke sio kwenda kutoa tu mwili inainvolve vitu vingi kama nilivyosema sema hapo juu mpaka mwanamke ajikabizi kwa mwanaume mwingine."""
Hapa weka clear mkuu
 
"""unaweza tu kumsamehe endapo chanzo cha kumfanya akusaliti ni wewe mwenyewe ndio umesababisha tena kwa sababu zenye mashiko,unaweza kumsamehe ukabadilika wewe kwanza naye kama ana mapenzi ya kweli atajuta na kurudi kwenye njia kuu kiukweliukwel""

Hii ni ukweli kabisa Mkushi Mbishi na hapa akirudi huwa ana ingia mazima aiseeee na hapo ndo mda mzuri wa wewe kufanya yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Aachwe mara moja. Hakuna kumsamehe mwanamke msaliti
 
Kwani sababu inayomfanya mwanaume kucheat haitamfanya arudie kucheat au mwanaume ni haki yake kucheat

Ukiniuliza Mimi naona mwanaume ndo anasababisha hasara kubwa anapocheat. Mwanaume anacheat na mchepuko anapewa limbwata anaisahau familia yake anaitelekeza mama na watoto wanaanza kuwa ombaomba, hasara hii unaweza kuilinganisha na hasara gani inayosababishwa na mwanamke kucheat?
 
"""unaweza tu kumsamehe endapo chanzo cha kumfanya akusaliti ni wewe mwenyewe ndio umesababisha tena kwa sababu zenye mashiko,unaweza kumsamehe ukabadilika wewe kwanza naye kama ana mapenzi ya kweli atajuta na kurudi kwenye njia kuu kiukweliukwel

Mwanamke aliesaliti akasamehewa, hujenga tabia ya ntasamehewa tena. Atafanya juu chin trick aliyoitumia ukamsamehe atumie tena na tena.

Maisha ni kupanda na kushuka. Katika hali yoyote ile, mwanamke hatakiwi kusaliti. Alisaliti tu na mwanaume akasamehe, atambue kwamba atasalitiwa na tena na tena na ajiandae kisaikolojia ya tukio kubwa maana hawa viumbe ni wepesi sana kudanganya kwa pipi au jojo. Unaweza kujuta maisha yako yote kwa kumsamehe mwanamke msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…