Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
Jamaa pesa anayo demu yupo vizuri tu kimwonekano wanauza mapikipikiHivi ukipukutisha zote hizo tano hata ule ulembo na uzuri wa asili utaendelea kuwepo kweli? Au ndo hawa tunakutana nao mitaani wamechoka kama wanawatoto kumbe hata wa kusingiziwa hawana.
Bahati yake ni kubwa naona.Jamaa pesa anayo demu yupo vizuri tu kimwonekano wanauza mapikipiki
Mimi nilikiiba kitabu kwenye library ya shule yetu nikawa nakisoma huku nikiwa na kamusi yangu pembeni.Mimi niliisoma nikiwa primary kwenye kita bu Cha shule ww je😂😂💔
Ukatoka na jina Luanda magere ila ni unyama🔥😹😹😹Mimi nilikiiba kitabu kwenye library ya shule yetu nikawa nakisoma huku nikiwa na kamusi yangu pembeni.
Hili swala Pana sana hapo umeleta joja tuijadili sio itimisho.Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . .
Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
A Man Made Up of Rock 😂.Ukatoka na jina Luanda magere ila ni unyama🔥😹😹😹
Ila alikufa kilaini .....A Man Made Up of Rock 😂.
Alikufa baada ya kukiuka masharti fulani fulani. Mimi nimejifunza kutokana na kile kilichomkuta.Ila alikufa kilaini .....
Na we ndege mjanja subiri kunasa kwenye tundu bovu😂
Umejifunza kipiAlikufa baada ya kukiuka masharti fulani fulani. Mimi nimejifunza kutokana na kile kilichomkuta.
Hoja zingine bhana, sasa nichukuliaje wakat nisingekuapo na mambo ya dunia yasingenihusu. We umesikia huko ziloko hizo sperm zinaishi kwa matesa na kulaum?Unajua mambo mengine yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa sana, hebu chukulia mfano kama mzee wako angekuwa muumini wa kipande cha soap kama burudani yake akakumwaga chooni ukaenda na maji au mama yako akakuchomoa kama hivyo leo hii ungekuwepo hapa unapakia na kugonga like hapa JF?
Kutomwamini mwanamke mwenye roho mbaya 😂.Umejifunza kipi
😂😂😂Wenye roho mbaya unawajua ukiwaonaKutomwamini mwanamke mwenye roho mbaya 😂.
Naweza kwa maana ninaweza kuwasiliana na mtu telepathically.😂😂😂Wenye roho mbaya unawajua ukiwaona
☕☕☕Naweza kwa maana ninaweza kuwasiliana na mtu telepathically.
We nidharau tu! 😂.
😂😂😂😂😹Ila we ndege banaWe nidharau tu! 😂.
Hakuna mtu hapa, nikutakie usiku mwema ewe zumbukuku wa maarifa.Hoja zingine bhana, sasa nichukuliaje wakat nisingekuapo na mambo ya dunia yasingenihusu. We umesikia huko ziloko hizo sperm zinaishi kwa matesa na kulaum?
Both spiritual and religiousSpiritual or religious
Siku moja utaniota na utashangaa, kisha utaleta ushuhuda humu.😂😂😂😂😹Ila we ndege bana
Ila ndege mbona unaongea sana leo😅Siku moja utaniota na utashangaa, kisha utaleta ushuhuda humu.