Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Huyu nikawaambia mtaniibia na kuibua tafrani maana ameumbika haswa.
Mimi ni mtakatifu sijawahi kuwa mtakabifu kutoka pale Mt Andrew siwezi kukuibia ndugu labda anitegee paja na wowowo mbele yangu, ila mkuu naona umedata kweli sijawahi kuona upo bize sana na uzi mmoja kiasi kwamba unashindwa kupata muda wa kuchungulia nyuzi nyingine, muhimu angalia usije kata moto mapema mapenzi ni sumu kali kuliko ya panya.
 
Niko radhi kuangamia kisa huyu shory mkuu. Potelea pote Mimi nafuata kile roho yangu inapenda.

Kipenda roho hula nyama mbichi.
 
Bahati mbaya zipo mkuu. Binafsi naamini kutoa mimba kwa sehemu kubwa ni ujinga ukiachilia mbali suala la maadili. Ila pia natambua kuwa mimba zitatolewa sana tu. kwasababu tunatofautiana mitazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ