maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,812
- 2,360
Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela.
Inapendeza sana wakati kama huu katika maisha unaposhinda katika vita. Aliingia kijana sana akatoka mzee kabisa. Hapa ni mwaka 1990 February alipotoka gerezani akishikana mkono na mwanamke wa ujana wake aliyepambana kutimiza ndoto ya mumewe.
Vita yako ukipata mtu wa ndoto yako akakuunga mkono kifo ni jambo ndogo sana kwa kuwa nguvu uliyonayo mauti haina nafasi nadhani mshana jr. anajua hapa naongelea nini