BenKaile
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 443
- 376
Nilichokuja kujua baada ya kusoma talaka yao 1997 baada ya Mandela kutoka gerezani inauma sana kuona mwanamke aliyekuwa nae bega kwa bega na kama mke wake wa tatu kumasliti na kijana mdogo ndani ya chama cha ANC tawi la vijana pamoja na utumiaji holela wa fedha za chama katika ufuska na mambo yasio katika mpangowa chama hasa tawi la umoja wa wanawake alilokuwa kiongozi, vitendo vilivyodhoofisha sana afya yake na hata utendaji wake wa kazi alipohudumu mda mfupi sana wa uraisi wake na kustaafu. Winnie was special na muumini mfurukutwa wa uhuru na mpinga unyanyasaji wa watu weusi Afrika kusini lakini Gracel Machel ndio mwanamke shujaa wa mfano kwenye maisha ya Mandela, you may argue with your ancestors or you do the research