Mwanamke akikuunga mkono katika harakati zako tegemea mafanikio makubwa

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,812
Reaction score
2,360
Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela.



Inapendeza sana wakati kama huu katika maisha unaposhinda katika vita. Aliingia kijana sana akatoka mzee kabisa. Hapa ni mwaka 1990 February alipotoka gerezani akishikana mkono na mwanamke wa ujana wake aliyepambana kutimiza ndoto ya mumewe.

Vita yako ukipata mtu wa ndoto yako akakuunga mkono kifo ni jambo ndogo sana kwa kuwa nguvu uliyonayo mauti haina nafasi nadhani mshana jr. anajua hapa naongelea nini
 
Paragraph ya mwisho ni tafakuri sana, kumpata mtu wa ndoto yako, mtu ambaye atakuunga mkono kwa kila harakati utakayofanya. Mtu ambaye ata hisi unachohisi. Mtu ambaye atakuwa zaidi ya mke, rafiki.....!
 

wakati wa ndoa yao mandela akitabasamu kama kawaida yake ndani ya suti kali na winnie akiwa binti mdogo kabisa. Maisha ni kitabu
 
Na ukimpata wa hivyo jiahidi asikuponyoke eti kwa kuwa ndoto imetimia...mshikilie tu,ule mema ya nchi.
Kabisa, mgande mana wengi wapo kwa maslai tu.
Two years ago, tulimzika ba' mdogo, hakuwa hata na kibanda cha matope, wakati alikuwa mfanyakazi miaka mingi, bad thing ni kuwa mkewe kajenga kwao nyumba ya kutosha tu, wakati alikuwa mama wa nyumbani.
Wanawake Mungu anawa zoom, munayotufanyia
 
m
mwanamke akikuunga mkono mafanikio yako yako karibu sana kwa kila jambo unalowaza mimi mwenyewe mke wangu hapendi harakat harakati hizi za kisiasa lakini nilipomweleza vzr akanielewa mpaka wakati mwingine aniambia jambo ambalo sijawaza kuna siku aliniokoa sana na jambo la hatari lililokuwa linaninyemelea nikamshukuru sana
 
Paragraph ya mwisho ni tafakuri sana, kumpata mtu wa ndoto yako, mtu ambaye atakuunga mkono kwa kila harakati utakayofanya. Mtu ambaye ata hisi unachohisi. Mtu ambaye atakuwa zaidi ya mke, rafiki.....!
kabisa kabisa mkuu mtu wa ndoto yako ni mafanikio yako chini ya jua
 
Yaan unataka kusema mke wa mkuu wa malaika haungi mkono juhudi?au mimi sijaelewa post

Sent using tecno tochi
 
Mwanamke kabila gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonishangaza katika hili ni kwanini Mandela aliwasamehe makaburu waliomtesa lakini hakumusamehe mke wake aliemucheat

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeoa, mke wako umemgundua ana mwanaume mwingine, basi, maana yake yale yote yanayo tokea muda wa falaga yenu ndivyo anayafanya na kwa huyo jamaa. Kama dushe analichezesha kwenye mdomo wa tigo ili lisilale unahisi hata huko ndo karuhusu liingizwe lote.
Haya mambo yasikie kwa mwenzio.
Hata mimi siwezi kumsamehe mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…