Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela.
View attachment 1304084
Inapendeza sana wakati kama huu katika maisha unaposhinda katika vita. Aliingia kijana sana akatoka mzee kabisa. Hapa ni mwaka 1990 February alipotoka gerezani akishikana mkono na mwanamke wa ujana wake aliyepambana kutimiza ndoto ya mumewe.
Vita yako ukipata mtu wa ndoto yako akakuunga mkono kifo ni jambo ndogo sana kwa kuwa nguvu uliyonayo mauti haina nafasi nadhani mshana jr. anajua hapa naongelea nini
Paragraph ya mwisho ni tafakuri sana, kumpata mtu wa ndoto yako, mtu ambaye atakuunga mkono kwa kila harakati utakayofanya. Mtu ambaye ata hisi unachohisi. Mtu ambaye atakuwa zaidi ya mke, rafiki.....!
The world has been led to believe this!!Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela.
View attachment 1304084
Inapendeza sana wakati kama huu katika maisha unaposhinda katika vita. Aliingia kijana sana akatoka mzee kabisa. Hapa ni mwaka 1990 February alipotoka gerezani akishikana mkono na mwanamke wa ujana wake aliyepambana kutimiza ndoto ya mumewe.
Vita yako ukipata mtu wa ndoto yako akakuunga mkono kifo ni jambo ndogo sana kwa kuwa nguvu uliyonayo mauti haina nafasi nadhani mshana jr. anajua hapa naongelea nini
Ukitulia bila kuvutika na uzuri wa nje ule wa kununua unapata
Jr[emoji769]
Uko sahihiUko vzr mshana. Bht mbaya wakati wengi tunayafuta wake huwa tunaangalua superficially (juu juu).....kucheki kama mpini ni mkali....unajielewa.....una noti....una mvuto...umenyooka.......tunakuja kugundua baadae sana kwamba tumechukuwa wanawake ambao roho zetu zazijafungamana nao...ni shida sana maana kuna kipindu mwanamke mnabishana sana...mnakwenda kinyume kila saa....mnatofautiana kila eneo...ndio inaingia concept ya uvumilivu na kubakia kulea watoto......hio ndio jehanum huanzia....kama una nguvu safari ya kutafuta mke mwingine huanza na haisimami hadi umpate yule anaekubariki...kama mbegu zako ni kali utajikiuta ghafla umefika kuwa na wake wanne......uzito huwa kuingia kwa mwanamke wa pili huko mbele unakuwa profesa tyr....
Inawezekana kutafuta mali huwa ni ambition ya awali kwa kijana yoyote.....umri ukienda ambition huhamia kwa mke msikivu na mleta amani..hio ndio game changer!
Maisha ni yale yale...mapito ni yale yale..Waliotangulia wana busara...usijitie genious na kuwacheka ulidhani wanakosea.
Mstari wa mwisho uko vzur,,Uko vzr mshana. Bht mbaya wakati wengi tunayafuta wake huwa tunaangalua superficially (juu juu).....kucheki kama mpini ni mkali....unajielewa.....una noti....una mvuto...umenyooka.......tunakuja kugundua baadae sana kwamba tumechukuwa wanawake ambao roho zetu zazijafungamana nao...ni shida sana maana kuna kipindu mwanamke mnabishana sana...mnakwenda kinyume kila saa....mnatofautiana kila eneo...ndio inaingia concept ya uvumilivu na kubakia kulea watoto......hio ndio jehanum huanzia....kama una nguvu safari ya kutafuta mke mwingine huanza na haisimami hadi umpate yule anaekubariki...kama mbegu zako ni kali utajikiuta ghafla umefika kuwa na wake wanne......uzito huwa kuingia kwa mwanamke wa pili huko mbele unakuwa profesa tyr....
Inawezekana kutafuta mali huwa ni ambition ya awali kwa kijana yoyote.....umri ukienda ambition huhamia kwa mke msikivu na mleta amani..hio ndio game changer!
Maisha ni yale yale...mapito ni yale yale..Waliotangulia wana busara...usijitie genious na kuwacheka ulidhani wanakosea.
Winnie alikuwa kisu balaa sijui ilikuwaje Mandela akampa talaka dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vzr mshana. Bht mbaya wakati wengi tunayafuta wake huwa tunaangalua superficially (juu juu).....kucheki kama mpini ni mkali....unajielewa.....una noti....una mvuto...umenyooka.......tunakuja kugundua baadae sana kwamba tumechukuwa wanawake ambao roho zetu zazijafungamana nao...ni shida sana maana kuna kipindu mwanamke mnabishana sana...mnakwenda kinyume kila saa....mnatofautiana kila eneo...ndio inaingia concept ya uvumilivu na kubakia kulea watoto......hio ndio jehanum huanzia....kama una nguvu safari ya kutafuta mke mwingine huanza na haisimami hadi umpate yule anaekubariki...kama mbegu zako ni kali utajikiuta ghafla umefika kuwa na wake wanne......uzito huwa kuingia kwa mwanamke wa pili huko mbele unakuwa profesa tyr....
Inawezekana kutafuta mali huwa ni ambition ya awali kwa kijana yoyote.....umri ukienda ambition huhamia kwa mke msikivu na mleta amani..hio ndio game changer!
Maisha ni yale yale...mapito ni yale yale..Waliotangulia wana busara...usijitie genious na kuwacheka ulidhani wanakosea.
mkuu kwa makusudi kabisa unakata umeme[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji1787][emoji1787]Wake za kina mbowe, msigwa, heche, lema, sugu hawaonekani hata mahakamani acha kwenye mikutano au maandamano. Nakumbuka dr silaa alikuwa bega bega na mke wake.
Sent using Jamii Forums mobile app