Kuna kumwaga maji (squit) na kuna kufika mshindo. Ni vitu viwili tofaut.
Na vyote kila mwanamke anaweza,
Mwanamke mwenye ujuzi wa ku-squit akimuelekeza mwanamke mwenzake naye ataweza ku-squit.
Kufika mshindo ni habar nyingne, inahitaj kutrigger vitu ving ndan ya mwanamke , kuanzia kumuandaa, mazingira , akuamini na namna unavyofanya nae Sex yenyewe.
Na wanawake wote wanaweza.
ukiona mwanamke hajawah kufika na anafanya mapenz mara kwa mara ujue kuna namna mpenz wake hajampatia.
Ila, wanavyobana K wakat wa Ku-squit wanasikia raha/msisimko kama ule wanayousikia wakat wakufika mshindo.
Na anavyobana wakat huo wa ku-squit unaweza pia kuchangia akafika . Kwahiyo aka squit na kufika mshindo kwa pamoja.
Na wengne wana squit bila kufika. Na weng wanapenda hii maana kwenye squit anaweza akataman kufanya tena na tena na akawa na nguvu. wakat akifika mshindo, ari na mshawasha unapungua kwa muda kidogo.
Nimeongea kwa uzoefu tu wa kusikia.
Mm ni Baba paroko. Kwahiyo najitunza sana😂😂😂😂😂