Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

Nipe bas hata wewe, hela ya mwanaume tamu sana
😄😃😀Umeua Comment Chachu Hii
Mleta Mada Akiiona Atavimba Atapasuka
Hasa Kusema Pesa Tamu Hasa Itoke Kwa Mwanaume
 
😄😃😀Umeua Comment Chachu Hii
Mleta Mada Akiiona Atavimba Atapasuka
Hasa Kusema Pesa Tamu Hasa Itoke Kwa Mwanaume
Hata mwanaume anajisikia vizuri akimpa mpenzi wake hela, anaona ufahari mwanamke wake akipendeza kwa gharama zake
 
Aah km unatoka bila kuomba sawa,haina shida!
Ila ungekuwa hutoi kabisa,hilo lingekuwa suala lingine
 
Amini kwamb, anae kuomba ela sana ana fake love as vice versa.
 
Walio kama ww katika mia wawili labda maana mm x wangu jaman alikuwa hatoi pesa yoyote asipoonbwa yaan sitakuja msahau maisha yangu yote, alikuwa mbinafsi Sana, sijuwah muomba peaa jamanii but siku moja nikapata shida , ikabid nimuonbe yy jibu lake ni Sina mara zote,,.sijui kama atakuja dumu nla mwanake,
 
Pesa yangu atafaidi asiye mchoyo wa sex basi, I need sex not less than 5 rounds, that 5hours minimum. Na lazima nipige siku 3-5 mfululizo ili nitoe mapepo pandikizi yote. Nipe nawe nikupe, mjadala wa mpalange mapema saana baada ya siku 5 nikipewa kabla au nikiona mlege wa tembele napeleka. Pesa na mpalange ndio kauli mbiu
 



Ni kweli sababu kitaalam mtoto huchukua akili kwa Mama yake mzazi.

Kwa hiyo ukizaa na kilaza utapata vilaza?!
 
Inategemea na uzuri wako na vibes zako kama huna maajabu na ana wengine jiachie ukipenda ni wewe. Je wewe ni pis kali au wewe ndie ulidata kwake?
 
Mwanaume mzima unajisifia eti unakua na kisirani

Embu tafuta hela uache kulia lia huku maana hatuna msaada wowote na wew
 
Mwanaume kabisaa una kisirani??? Au umekosea kuandika ama umemaanisha kitu kingine na sio kisirani??

Kwa kifupi haifai mwanaume kua na kisirani.
Hata mimi bibi yangu mzaa baba kapanda hii mbegu kwangu kususa kama zote hata mbususukwinyo naiona hii live napiga dole then nasema sepa nayo naicha kweli natoa nauli nasepa au pakiza kwenye gari escort tupa kule, block la nguvu, with money don't click shit, hoopers are in abundance.
 

Tumekusikia
Ila na nyie muda mwingine muwe mnajishtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…