cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta pesa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta pesa wewe
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha
1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”
“Mimi mwanaume hanipigi kofi"
Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.
2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.
"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”
“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"
3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Huyo Muogope
4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.
Huyo muogope
5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo
6. Mwanamke mkienda out akatawala bili
“Mnauzaje hapa?”
“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”
“Hesabu vizuri wasituibie chenji"
7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari
8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!
Ogopa.
Thank me later
Britannica
Hahaha
Hebu hapa tufafanulieni maana siku hizi zaidi ya 60% wanavaa mawigi.Ogopa sana mwanamke anaevaa WIGI.
Sema weweeKuna Best yangu ana tabia 5 hapo ila ana bwana anampenda mpaka basi [emoji2] mtu akiwasikiliza nyie si atajikuta haishi..
Hayo msioyataka nyuma ya pazia mnawapenda hao wenye nayo
Hiyo no 4 so powahMapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha
1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”
“Mimi mwanaume hanipigi kofi"
Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.
2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.
"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”
“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"
3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Huyo Muogope
4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.
Huyo muogope
5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo
6. Mwanamke mkienda out akatawala bili
“Mnauzaje hapa?”
“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”
“Hesabu vizuri wasituibie chenji"
7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari
8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!
Ogopa.
Thank me later
Britannica
nakaziaBora we umeona wapare tu, kiujumla Wanawake wote kanda ya kaskazini ni Jehanamu isipokuwa Wamasai tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana
Sanano.6 Ni mwamba.😂
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Type hii hawaoleki.....hakuna wife material anaenyoa kiduku wala kuweka breach hafai kuwa mama wa familia