Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha

1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”

“Mimi mwanaume hanipigi kofi"

Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.

2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.

"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”

“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"

3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake

“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"

Huyo Muogope

4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.

Huyo muogope

5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo

6. Mwanamke mkienda out akatawala bili

“Mnauzaje hapa?”

“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”

“Hesabu vizuri wasituibie chenji"

7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari

8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!

Ogopa.

Thank me later

Britannica
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wewe ni mkongwe sana ya haya mambo yote uliyoyaandika nimekutana nayo.
Hasa hasa hapo kuanzia namba 5 hadi 8 nikikutana nao wa hivyo huwa nakaa naye kwa machale sana.
Unakuta demu anaanza kulaumu hii bar haina huduma nzuri,wahudumu wavivu hata meza hawajafuta,vinywaji vyao bei kubwa,sehemu fulani bei iko chini kuliko hapa,siku nyingine ni bora twende sehemu fulani wana huduma nyingi sana,hii baa ya kishamba.
 
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha

1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”

“Mimi mwanaume hanipigi kofi"

Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.

2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.

"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”

“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"

3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake

“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"

Huyo Muogope

4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.

Huyo muogope

5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo

6. Mwanamke mkienda out akatawala bili

“Mnauzaje hapa?”

“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”

“Hesabu vizuri wasituibie chenji"

7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari

8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!

Ogopa.

Thank me later

Britannica
Dah!!!!,we jamaa umeyajuaje haya?,Anyway hongera kwa thread nzuri.
 
Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Huyo kukuua ni km kuchinja sungura wa kitoweo
 
No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona tulio wengi tunawaza chini tu.
 
Hivi mabaharia huwa mnakosea wapi?? Mnaonyana lakini threads za malalamishi yenu haziiishi... baadhi yenu somo haliwaingii [emoji23][emoji23][emoji4]
Tatizo wanaume wengi wanajifanya wajuaji wanaona kama wenzao yaliyo wakuta ni wazembe [emoji1][emoji1]
 
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha

1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”

“Mimi mwanaume hanipigi kofi"

Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.

2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.

"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”

“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"

3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake

“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"

Huyo Muogope

4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.

Huyo muogope

5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo

6. Mwanamke mkienda out akatawala bili

“Mnauzaje hapa?”

“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”

“Hesabu vizuri wasituibie chenji"

7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari

8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!

Ogopa.

Thank me later

Britannica
Such a lame reason!
 
Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana

Nyie madogo mna maneno daaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
upo km mm ila inanicost some how
No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa

Sent using Jamii Forums mobile ap
 
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha

1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”

“Mimi mwanaume hanipigi kofi"

Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.

2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.

"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”

“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"

3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake

“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"

Huyo Muogope

4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.

Huyo muogope

5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo

6. Mwanamke mkienda out akatawala bili

“Mnauzaje hapa?”

“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”

“Hesabu vizuri wasituibie chenji"

7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari

8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!

Ogopa.

Thank me later

Britannica

Tafuta pesa wewe
 
Mimi pia mwamaume hana haki ya kunipiga kwann unifanyie ambacho siwez kukufanyia yaan ukinipiga usitegemee kusema samahan cjui sorry..io itakua ni kesi ya kimataifa..
Nitakupiga na mboo maana hakuna kipigo kingine zaidi ya hicho kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom