Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Hahahaha
 
Back
Top Bottom