Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Kabisa
Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kaka
Sisi ni waafrika hata ukitazama waafrika wanaoishi marekani utaona malalamiko ya wanaume wao ni similar na sisi tunaoishi afrika. Tamaduni zetu zinamtaka mwanamke kuwa msikivu na mtiifu kwa mume wake.... Hata linapotokea tatizo huyu mwanamke asithubutu kumletea mwanaume kiburi au jeuri bali amuwajibishe kwa hekima na upole sababu mwanamke kaletwa kwaajiri ya mwanaume si dhidi ya mwanaume.

Shida ni watoto wa kike wa miaka hii mnaleta ujuaji na uzungu mwingi kutaka kuishi kama hao wazungu wanavyoishi...... Hauwezi kujibizana na mimi kwa kunipandishia sauti hapo jua utaambulia kipigo au matusi sababu hiyo kwa mujibu wa tamaduni za afrika nzima bila kujali kabila ni utomvu wa nidhamu hata uende india, uende uarabuni uende china mwanamke haruhusiwi kumpandishia mwanaume sauti kwa namna yoyote anatakiwa kuongea kwa upole na utiifu na kumfanya huyu mwanaume ajirudi na kumpa attention.

Pia kuishi bila utaratibu leo mtoto wa kike anajiamulia tu kuishi anavyotaka lakini anasahau yupo afrika na tunaevaluate tofauti na wazungu, mfano, mtoto wa kike unaongozana na watoto wakiume na una miaka 22 au zaidi halafu unahisi upo sawa...... Wewe utakuwa na matatizo somewhere kichwani.......

Unaropoka ropoka hovyo jambo ambalo si sehemu ya tamaduni zetu waafrika......

Ntakupa mfano, kuna rafiki yangu wa kiume alienda na mchumba wake na akiwa na rafiki zake wawili wa kike kwao. Walipofika, wakiwa sebuleni, mojawapo kati ya wale mabinti ambao ni rafiki za huyu mke mtarajiwa alikuwa anaongea sana wakiwa wanatazama TV, baadae wakati wa utambulisho kijana alimuuliza kwa utani bibi yake mzaa baba, nani unahisi kati ya hawa ni mke mwenzako, bibi akamjibu kilugha kuwa ni mojawapo kati ya hao wawili.... Akamuuliza mbona huyu haujamchagua, akasema anaongea sana atatoa siri za ndoa nje huyo.....

Unaona sasa.... Kwamba tamaduni zetu hazitambui mwanamke anaeongea kama chiriku bila staha....

Tazama jamii za wahindi, waarabu na wachina ni jamii ambazo wanawake wao wapo kwenye culture yao na wanasimamia misingi ya culture yao.

Sisi wanaume wa kiafrika tunamtazama mwanamke kama kiumbe dhaifu sio duni narudia tena.... Kiumbe dhaifu sio duni......


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mwamba....kama dk 20
True.... Halafu hiyo wanayoita kujiamini wala haijawahi kuwa mojawapo ya sifa ya kike.....

Raha ya mwanamke akugande whether unampatia pesa au yeye anakusapport kwa wakati huo.

Mwanamke akiwa anabembeleza pale unapokasirika huwa kuna kemikali inaitwa "unanimaliza mpenzi" huwa inaflow kwenye damu na ndio uchawi ulipo aisee unajisikia vizuri. Sema kuna maboya wakipata hii bahati huwa wanaitumia vibaya kutesa watoto wa watu..... Mwanaume unatakiwa kuwa na huruma na mtoto wa mwanaume mwenzio. Akikubembeleza unakamata huo mwili wake unamleta karibu unamla mate kama dakika 20 hivi kisha unamwambia usipende kunikwaza..... Kisha unampa hela halafu unamvalisha koti lako kama mpo nje kisha taratibu mnaanza kutembea mkielekea home huku mkipanga maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikawaida wanaume huwa hatunaga urafiki na jinsia ke exceptional ikiwekwa kwa mama mzazi pamoja na mdogo wa kike , ukiona jamaa ana urafiki na wewe na ukadumu bila kuhusisha mapenzi jua kuna mambo mawili huyo ni punga au amukuweka kiporo akisubiri mtego utiki akukule kimasihara .

☆E pluribus unum☆
Na ili La kiporo ndo Zuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa namba tatu(3) unafeli mjuba!!
Hao wanawake hawana yale mambo ya kugombana au kugombanisha watu, ni watu wanao kuwa huru sana hawafichi maovu yao kwa kujifanya wapo mbali na wanaume. Sio wanafiki.

I had one of them wakati huo nikiwa damu changa sana haitulii.
Sasa kaolewa ana familia yake, jamaa kapata mke kweli kweli.

Hawa wanajua wanaume tunavyo jisifu na kuwapondea wanawake wenzao wanaotoka na wanaume wengi ( hoochie ), kwa hivyo wao wanatoka na wachache wasidharauliwe na wajuba. Si wanasikia mastori wanapokaa na wanaume.

Wanaogopwa sana na wanaume wengi kutokana na kujiamini kwao.
Hawapendi maskendo ya kukusanya wenzie uliowatokea kuja kukuumbua au kukufanyia vurugu, unakuta huyu anakustua fulani nakuchana live umezingua unataka kutuchanganya kama watoto.
"Fulani alikuja tukapanga mmoja wetu akuite utukute wote tukushushue lakini mimi sipendelei makelele na kuaibishana kitaa hivyo ukiitwa na fulani mahali fulani usije. Nimekustua sababu nilikuelewa sana japo umezingua".

In short wanajiamini sana ndio maana umewaogopa na kuwapondea hao namba 3. Mwanaume hapendi mwanamke anaye jiamini sana, ndio sifa ya binadamu yeyote.
Bosi wako kazini akikuona unajiamini haumuogopi anakosa kuajiamini anaanza vita na wewe.

Angalizo: Hawa wanatakiwa wakiolewa waache kushinda na wanaume tofauti na ndugu au shemeji zake.
Mwanamke akijiamini sana pia ni Tatizo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa

Sent using Jamii Forums mobile app

mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume lazima atatokea mwamba mmoja atamtoboa tu hawezi kuruka viunzi vya wanaume lets say watano, atakitahid lakin hata fanikiwa, ngoja nkwambie something about my personal experience, mimi huwa nna jua kushauri sana watu kwenye ishu tofauti alafu huwa nna tone fulan nkianza kuongea unataman uendelee kunisikiliza sasa basi kupitia kuwapa ushauri wanawake tofauti tofauti nikawa najikuta nakuwa nao karibu sana na walikuwa nakauli kama yako, nikitest mitambo unashangaa nimewabomoa yan tena kiulain sababu wanakuwa wananitrust 200%.

Alafu kitu ambacho sikipend kuhusu wanawake wa dizain hii wanawaamini sana rafiki zao wa kiume kuliko maboyfriend zao, wachumba zao na hata waume zao, wako tayari kuwaambia friends wao wa kiume siri zao zote na matatizo yao yote kuliko kumwambia boyfriend mchumba au mume wake na wengi ndio hapo wanapoumiaga, Trust me wengi sana wamebomolewa stail hiyo, na ukishambomoa sasa ndio anaanza kukusimulia yote anayopata tabu kwenye relationship yake yan anakurahisishia wewe ujue anapenda nini ili usikosee kama bwanaake.

Alafu kuhusu kukuogopa hapana, wanaume wengi wanapendaga wanawake kama ninyi sababu kuwaingia ni rahisi na hakuna strings atached, wanakukulen kimasihara, ukienda kwene uzi wa kula kimasihara wengi wao walileta urafiki wa ushikaji wakaliwa.

Cha mwisho kabisa MWANAUME HANAGA URAFIKI NA MTOTO WA KIKE YAN LABDA AWE MBAYA WA SURA NA KILA KITU, LAKIN KAMA MTOTO MZURI HAKUNA MWANAUME ANAVILIAGA, YAN KAMA ANAJIFANYA RAFIKI AKO NI EITHER ANAKUTAKA WEWE, au RAFIKI YAKO AU MDOGO WAKO, au kuna kitu yupo interested nacho labda info fulan,

Yan ukiona upo na mshikaji ni mshkaji wako na mpo poa na wewe ni kasexy lady basi jua alishakuwazia ivi siku akikutoa chupi itakuwaje na hiyo chuchu yako imekaaje ukiwa naked...MWANAUME YUPO TOFAUTI SANA NA MWANAMKE...

STAY DANGEROUS....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa

Sent using Jamii Forums mobile app
haaaaa hutofautiani sana demu wangu nae kampani kubwa ni wanaume anadai eti wanawake wengi wana story za ajabu tu
 
Back
Top Bottom