Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoivo mamito.
Anhaa kumbe... ni juzi tu hapa nimemtumia bae picha za cutting master nikamwambia natamani kukata nywele hivi, loh nilikatwa jicho hilo nikaambiwa usijaribu kuweka huo upuuzi.
Ntakupiga sasa..... Tena sasa hivi ntakuzabua....Khaa kwahiyo mnataka tukubali kunyanyaswa na kupigwa?? Over my dead body acha nionekane mwanaharakati tu ila maishani mwangu hakuna kitu nachukia kama kunyanyaswa au kupigwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa ila sio powah bhana, sio wote wanalika kimasihara
Hamna kitu..... Unatunzaje familia bila mwanaume around..... Au wewe ndio wale kutunza familia ni watoto wale waende choo basi.....?!Sema they're too smart upstairs.
Hawapelekeshwi hao Ila wanatunza familia sijapata ona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umalaya tu kama umeshindwa kukaa na wanawake wenzio unafanya nini na wanaume....yaani unataka nambia marafiki wa kike wote wawe na matatizo?!Hapa namba tatu(3) unafeli mjuba!!
Hao wanawake hawana yale mambo ya kugombana au kugombanisha watu, ni watu wanao kuwa huru sana hawafichi maovu yao kwa kujifanya wapo mbali na wanaume. Sio wanafiki.
I had one of them wakati huo nikiwa damu changa sana haitulii.
Sasa kaolewa ana familia yake, jamaa kapata mke kweli kweli.
Hawa wanajua wanaume tunavyo jisifu na kuwapondea wanawake wenzao wanaotoka na wanaume wengi ( hoochie ), kwa hivyo wao wanatoka na wachache wasidharauliwe na wajuba. Si wanasikia mastori wanapokaa na wanaume.
Wanaogopwa sana na wanaume wengi kutokana na kujiamini kwao.
Hawapendi maskendo ya kukusanya wenzie uliowatokea kuja kukuumbua au kukufanyia vurugu, unakuta huyu anakustua fulani nakuchana live umezingua unataka kutuchanganya kama watoto.
"Fulani alikuja tukapanga mmoja wetu akuite utukute wote tukushushue lakini mimi sipendelei makelele na kuaibishana kitaa hivyo ukiitwa na fulani mahali fulani usije. Nimekustua sababu nilikuelewa sana japo umezingua".
In short wanajiamini sana ndio maana umewaogopa na kuwapondea hao namba 3. Mwanaume hapendi mwanamke anaye jiamini sana, ndio sifa ya binadamu yeyote.
Bosi wako kazini akikuona unajiamini haumuogopi anakosa kuajiamini anaanza vita na wewe.
Angalizo: Hawa wanatakiwa wakiolewa waache kushinda na wanaume tofauti na ndugu au shemeji zake.
True.... Halafu hiyo wanayoita kujiamini wala haijawahi kuwa mojawapo ya sifa ya kike.....Sio confidence in general sense.
Ila wanakua na attitude flan hv, like ukinizingua hata nikienda kusimama barabarani napata replacement yako.
Comprènde?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya mambo ya kipuuzi kama dharau, kunipandishia sauti au kujibizana na mimi, kutokutimiza majukumu yako nakulabua vizuri tu kwasababu wazazi wako hawakukutoa upuuzi vema kichwani.Mimi pia mwamaume hana haki ya kunipiga kwann unifanyie ambacho siwez kukufanyia yaan ukinipiga usitegemee kusema samahan cjui sorry..io itakua ni kesi ya kimataifa..
Nyie ndio mnahitaji maombi sababu mnaenda nje ya utamaduni wetu ukiona mtu analalamika jua yupo fair na ukiona mtu anasababisha halafu yupo kimya jua ndie mkorofi
[emoji2][emoji2][emoji2] Gyole ndugu wa kilie, musua, kyunyu? Ama Gyole wa kanda ipi??
Majukumu tu yamenificha mpenzi
True.... Halafu hiyo wanayoita kujiamini wala haijawahi kuwa mojawapo ya sifa ya kike.....
Raha ya mwanamke akugande whether unampatia pesa au yeye anakusapport kwa wakati huo.
Mwanamke akiwa anabembeleza pale unapokasirika huwa kuna kemikali inaitwa "unanimaliza mpenzi" huwa inaflow kwenye damu na ndio uchawi ulipo aisee unajisikia vizuri. Sema kuna maboya wakipata hii bahati huwa wanaitumia vibaya kutesa watoto wa watu..... Mwanaume unatakiwa kuwa na huruma na mtoto wa mwanaume mwenzio. Akikubembeleza unakamata huo mwili wake unamleta karibu unamla mate kama dakika 20 hivi kisha unamwambia usipende kunikwaza..... Kisha unampa hela halafu unamvalisha koti lako kama mpo nje kisha taratibu mnaanza kutembea mkielekea home huku mkipanga maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya mambo ya kipuuzi kama dharau, kunipandishia sauti au kujibizana na mimi, kutokutimiza majukumu yako nakulabua vizuri tu kwasababu wazazi wako hawakukutoa upuuzi vema kichwani.
Sasa nisipokuadabisha nani atakae kunyoosha mpenzi.....?!
Kipigo cha kawaida tu situmii nguvu ni makofi tu ili ukae katika nafasi yako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnahitaji maombi sababu mnaenda nje ya utamaduni wetu ukiona mtu analalamika jua yupo fair na ukiona mtu anasababisha halafu yupo kimya jua ndie mkorofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni waafrika hata ukitazama waafrika wanaoishi marekani utaona malalamiko ya wanaume wao ni similar na sisi tunaoishi afrika. Tamaduni zetu zinamtaka mwanamke kuwa msikivu na mtiifu kwa mume wake.... Hata linapotokea tatizo huyu mwanamke asithubutu kumletea mwanaume kiburi au jeuri bali amuwajibishe kwa hekima na upole sababu mwanamke kaletwa kwaajiri ya mwanaume si dhidi ya mwanaume.Utamaduni upi
Karma
Nikikosea anaeniweka sawa ni mwanamke wangu anaejiheshimu sababu ninakuwa nae katika mji wangu ni yeye pekee ndie anaweza nijulisha mapema sana kabla sijakosea nirekebishe wapi.Kwani na wewe ukikosea nani anakuadabisha?? Au wanaume kukosea ni haki yenu??
Karma
Na nyie m'mezidi kuchagua wanaume kwa kuangalia wanavaaje...... Hamnaga akili katika kuchagua....... Mkiumizwa mnatuweka group moja utadhani sisi tunafanana nao......Sasa hao maboya wanaochezea hizo bahati ndiyo wanafanya wanawake wengi tunabadilika,, hao maboya ndiyo wako wengi na ndiyo wanaowaponza wanaume wengine ambao siyo maboya..
Karma