Mwanamke Akishaamua Kukuacha, Yamekwisha

Kuumizwa na mahusiano kupo.

Kwa mfano, mpenzi wangu akiiba ATM card kwenda benki kutoa pesa zangu, hapo nitaumia.

Au aniibie hati ya kiwanja akauze na kutokomea.

Yaani niumie kisa ameondoka tu?!

Siyo kweli. Eti mazoea!

Sikatai wapo wanaoumizwa, ila ni wanaume dhaifu sana na ni wapumbavu tu.

Mwanaume kuendekeza hisia ni ujinga wa kishamba.

Nasema hivi, huyo mwanamke hakuna alichonacho ambacho wengine hawana. Wapo wengi tu wanamzidi kwa kila sifa aliyonayo.

Lazima ujue, kwa asilimia zaidi ya 90, mwanamke ni liability kwa mwanaume, yaani nikae kulilia liability!, si watanicheka watu.
 

Mwanamke akikuacha ujue wewe ni dhaifu. Utakuwa una character za bad boys. Ambao kimsingi hakuna mwanamke ambaye anawaelewa
 
Hakuna wa kukucheka mkuu kwasababu kila mtu hupita huko
Nasemaje huyo mwanamke kuna alichonacho na wanawake wengine hawana ndio maana uka mtongoza

Kijana ndio maana una wanawake wawiliwawili unawapima na wewe unajua kuna mmoja ana vigezo uvitakavyo mwingine hana

So wanawake hawafanani.. mfanano wao upo kwenye mood swings but vinginee vyote hawafananii
Ndio maana kuna kubwa ndogo chuchu saa. 10 na chuchu saa 1… namba 8 na namba 27 mfupi kwa mrefu… mlokole kwa mtu wa club so we are deferent
 
Hizi ni nyakati za Mwisho,tumrudie Mungu

Hallelujah 🙏
 
Ni kweli. We are different.

Mwanamke ndio anatakiwa aogope kunipoteza mimi.

Nitakupa ka mfano kamoja.

Mwalimu alimuuliza Mabula anataka kuwa nani, mabula akajibu kuwa anataka kuwa bilionea.

Mwalimu akamuuliza Mariamu anataka kuwa nani, mariamu akajibu anataka kuwa mke wa Mabula.

Watoto wote wawili walikuwa sahihi na ni watoto wenye akili kubwa sana.

Kwa hiyo unaweza kuona kuwa focus ya mwanaume haitakiwi kuwa mwanamke bali utajiri, focus ya mwanamke ndiyo inatakiwa kuwa mwanaume tajiri.

Mimi wanawake wananiwinda kwa sababu nina financial muscle.

Wote hao namba nane sijui chuchu saa sita ndoto zao ni kupata mwanaume tajiri.

Mwanaume akishaanza kulilia lilia wanawake ameshapoteza focus na ameshakuwa mpuuzi.
 
Mwanaume unatakiwa ufike level wanawake ndio wastruggle kukupata hapo ndio unakua mwanaume kamili ,
 
N
nimechok kuandika bhn… nitakurudia baadae
 
Mwanaume unatakiwa ufike level wanawake ndio wastruggle kukupata hapo ndio unakua mwanaume kamili ,
Sahihi kabisa.

Mwanamke akikuacha, shusha pumzi, angalia juu mbinguni shukuru Mungu amekuondolea liability.

Kusanya hela sasa ananza kujiwekeza, save hela fungua vibiashara vingi vingi.

Weka bajeti wikendi moja kale bata, tafuta limalaya lizuri kalitafune, usichukue namba ya simu, kesho endelea na mishe zako.
 
Hakuna sababu hata moja hapo itanifanya niumie ila tu kama niliwekeza pesa na mali kwake ndo taumie. Yote kwa yote siwezi wekeza pesa na mali kwa mtu nisiyemwelewa uelekeo wake kwangu
 
Wa aina hyo ndo wamekuja kuwapa adhabu wenzao cz ss hiv sijali we ni mzur au una tabia nzuri..nkishachapa nakuona wale wale tu umekuja kwa sura nyingine..kwa hyo machale ni 100× ya kasongo
 
Mwanamke haamui kukuacha wewe ndiye unatakiwa kuamua kumuacha mwanamke.

Huelewi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…