Mwanamke akiwa na mkia anajiamini kuliko mwenye degree

Mmh! Mimi huwa namuonyesha babe wangu "angalii ule mzigo"
 
Nikitembeaga na mwanamke aliyejaaliwa njia nzima anaitwa yeye tu! Mimi wanajifanya hawanioni.

Kibaya zaidi utakuta mkaka ananiita halafu ananiambia "naomba namba ya rafiki yako" hii ni dharau.

Hii huwatokea wanawake wengi ambao hawajapewa mizigo.
wewe si mnene?
 
Dah! Umeongea kwa uchungu sana.
Ila usijali nyie flat screen ndio mnaolewa hao matakoz tunawachezea na kuwaacha samaki wa mapambo haliwi😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…