Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Usimtafute mtoto we tulia atakuja mwenyewe tengeneza life yako tu
Ushauri huu huwa unadhamiria nini kimantiki?

Siyo kwako tu kuanza kuisikia kauli kama hii, ni kutoka kwa wengi tu, lakini ni sentensi fupi kama hiyo na sijawahi kusikia mwendelezo wake.

Mtu kama amepata kazi na anaweza kutunza mwanaye kuna shida gani hapo?

Kwa hiyo ni sahihi mwanaye kula ugali wa wajomba ama baba zake wa kambo huku baba akiwa hai na kipato chake?

Wanasema: 'samaki mkunje angali mbichi' ama 'mtoto umleavyo ndivyo akuavyo' au siyo?

Mtoto alelewe na wengine halafu aje kwako akiwa tayari ni mtu mzima, wadhani anaweza kuendana na mila na maadili yako?

Wacha akamchukue mwanaye amlee bhana.
 
Ukianza kumtafuta mtoto utarudi kule kule. Wewe piga kimnya usimtafute mtoto , mwanao atakuja mwenyewe tuu amini na kuambia
 
Rahisi kwenye maneno kuliko vitendo.

Kwa namna walivyoagana..huyo mama hawezi kumuacha mtoto. Ni vita mpya. Ambayo ina uwezekano mkubwa wa kumuumiza mtoto kuliko huyo mwanamke.

Busara ni kuacha mtoto mpaka akue kidogo kufanya maamuzi binafsi. Tabia ya mtu haijifichi, na mtoto naye atafahamu tuu ukweli.
 
Kifupi na kirahisi "ACHA KUOA"

#YNWA
 
Real talk
 
Kosa kubwa la mwanaume ni kumuweka mwanamke as priority badala ya masiha yake. Most of the time huisha kwa majuto
Ndo hapo mkuu, ndo wale nakupenda kuliko kitu chochote wakati huyo mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya mbunye.
Kosa kubwa la mwanaume ni kumuweka mwanamke as priority badala ya masiha yake. Most of the time huisha kwa majuto
 
Mnapiga madili ya kuiba kazini mkifukuzwa kazi mnaanza kulia lia, kutokutaja changamoto iliyokukuta kazini ndo nini kama siyo wizi tu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…