Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Sawa mtani 🤣🤣🤣😂Sasa oa mwanamke mwingine usiyejua nasaba yake akuharibie tena maisha. Hivi mnapataga wapi wanawake wajinga hivyo. Msitangulize hisia wakati wa kutafuta mke kama unavyotafuta hawara. Kupata mke ni mchakato unaoanzia kwenu kwanza upate baraka za wazazi, kisha ushirikiane nao pamoja viongozi wa dini yako kuchagua mwanamke anayeendana na wewe.