Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Jan 4, 2025 #281 Clever1 said: Pole sana mkuu hao ndio wanawake, ukiwajua wanawake umeyajua maisha ni rahisi sana mwanaume kuishi na mwanamke asiye na kazi ila ni ngumu sana mwanamke kuishi na mwanaume asiyekuwa na kazi. Click to expand... Sasa mwanaume unakuwaje bushoke
Clever1 said: Pole sana mkuu hao ndio wanawake, ukiwajua wanawake umeyajua maisha ni rahisi sana mwanaume kuishi na mwanamke asiye na kazi ila ni ngumu sana mwanamke kuishi na mwanaume asiyekuwa na kazi. Click to expand... Sasa mwanaume unakuwaje bushoke
Hardbody JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 4,139 Reaction score 4,640 Jan 4, 2025 #282 Hawa viumbe hawana dhamana kabisa
if cap fits JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 1,461 Reaction score 2,062 Jan 4, 2025 #283 Mwanamke mzidi kipato, usimtegemee kwa chochote , yaani ni bora awe omba omba siku zote kwako. Wanawake ni viumbe hatari sana
Mwanamke mzidi kipato, usimtegemee kwa chochote , yaani ni bora awe omba omba siku zote kwako. Wanawake ni viumbe hatari sana