Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sasa mwanaume unakuwaje bushokePole sana mkuu hao ndio wanawake, ukiwajua wanawake umeyajua maisha ni rahisi sana mwanaume kuishi na mwanamke asiye na kazi ila ni ngumu sana mwanamke kuishi na mwanaume asiyekuwa na kazi.