Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
NAKAZIAKijana ambaye Hana Akili lazima ateseke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAKijana ambaye Hana Akili lazima ateseke
😅😅Kwa akili tulizo nazo sisi wanaume 😄😄, Sina shaka na maneno yako✍️✍️
Kwa nini hakukujali wakati umefukuzwa kazi? Acheni kuolea nyege wavulana mtateswa sana na hawa viumbeniliingia kwenye mahusiano na dada mmoja mrembo sana, mkarimu na mwenye kujali
Acha ujinga bintiWe hujawahi kuona? Inatokea sana mbona[emoji3]
Sawa
Ila si wapo?Wewe Shukuru Mungu ila ni wachache sana wapo hivyo
SawaIla si wapo?
Tatizo mnaoa wanawake wa wenzenu
Hapo kwenye "asimzidi kipato" pana utata. Maisha ni kupanda na kushuka. Lolote laweza kutokea wakati wowote!Pole sana ila zingatia haya
1. Usisomeshe mchumba
2. Asikuzidi akili
3. Asikuzidi kipato
4. Mzalishe watoto watatu harakaharaka kuneutralize moment au kumkeep busy na familia.
5. Nyumbani kwako mfumo dume utawale siku zote maana wanawake wanapaswa kutawaliwa na wanaune sio kutawala.
Cha mwisho uwe unakuja kwenye vikao vyetu wanaume au ukikosa muda basi tuma mwakilishi awe me au tuma hela ya ada ya chama ili usipitwe na mafunzo ya kila wiki.
Pole manWakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya.
Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine.
Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu, inawezekana ni sababu ya mapenzi anayokupa kabla mambo hayajaharibika, unaona kwa upendo anaokuonyesha hawezi akawa mbaya kwako.
Ni miaka kadhaa imepita, baada ya kumaliza kusoma nilibahatika kupata mkataba kufanya kazi kampuni X. Baada ya maisha kuanza kuwa kwenye mstari niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja mrembo sana, mkarimu na mwenye kujali.
Familia aliyotokea ilikuwa ni ya kawaida tu, ilipambana kumsomesha lakini haikumfikisha kwenye level ya ndoto zake kulingana na hali ya kipato. Kwakuwa nilimpenda sana, nilifanya taratibu za kutaka kumuoa. Nilienda kwao nikatoa kiasi fulani cha pesa ili niishi na mtoto wao. Walinikubalia, tena kwa furaha kubwa sana. Kiasi cha mahari sikutoa chote, niliahidi nitamalizia baada ya muda fulani. Hilo likafanikiwa.
Nilimpenda sana binti, nae alirespond the same. In short niliona nimepata furaha ya moyo, tukapata mtoto wa kiume na kweli nilienjoy.
Siku zote Binti alikuwa akinieleza kwa uchungu namna alivyotamani kusoma ila uwezo wa kifedha haukuruhusu, huku akisisitiza bado anatamani kufikia lengo. Sikuona vibaya, kwakuwa tayari ni mke kwangu nikampeleka Chuo husika cha fani husika nikalipa ada na akaanza rasmi kusoma.
Siku hazikukawia alimaliza. Baada ya kumaliza tu, akawa amepata kazi pia kwenye shirika moja lisilo la kiserikali hapahapa mjini. Tuliendelea kuishi kwa furaha kama kawaida.
Kuna changamoto ilikuja kutokea pale kazini kwangu ambayo sitoitaja hapa, ilipelekea mimi na wafanyakazi wengine Watatu kupoteza kazi. Hapa ndipo mambo yalipoanza kuzua utofauti. Nilipambana sana kufix hilo jambo sababu limekuja ghafla sana pasipo mategemeo, ilikuwa ni case kubwa iliyopelekea kuyumba kuanzia uchumi hadi mahusiano. Nilipoteza sana fedha kwenye kufix hilo ila hakukuwa na mafanikio.
Rasmi nikaanza kuonekana mzigo kwa familia yangu. Sikuweza tena kutoa huduma kama ilivyokuwa mwanzo, nikashindwa kuyamudu majukumu yangu kama awali. Ilibidi mwanamke aanze kufukia baadhi ya mapungufu sasa sababu hakukuwa na namna.
Msiombe kufikia hatua hii wakuu, ni fedheha sana. Nilianza kudharaulika na mwanamke. Maneno yakawa mengi, ikafikia hatua akawaambia hadi kwao kuwa amechoka kuwa na mwanaume asiye na mchango wowote. Wazazi nao wakasahau kabisa hata mazuri yangu, wakaanza kumshinikiza aondoke kwangu. Akawa mjeuri na kunitishia kuondoka aone ntaishije, ina maana ninaishi sababu yake, bila yeye ntateseka sana.
Kuna pesa nilikuwa nikiihifadhi sehemu sikutaka kuigusa kwa hali yoyote ile sababu nilikuwa na lengo la kuja kufungua biashara. Pesa hiyo ilikuwa ni nje na akiba ambayo niliitumia kufix mambo ya kazini. Nilipoona nimeshindwa kuvumilia fedheha na maneno ndani, ikabidi nianze kuitumia kutafuta kazi nyingine kwa kuhonga sehemu tofauti tofauti ili niingizwe kwenye kazi kivyovyote, nadhani hapa nilifanya kosa kubwa.
Ni kwakuwa akili haikuwaza kwa utulivu, nilitaka solution ya haraka kumbe ndio naharibu. Nilijikuta napoteza hela zaidi na zaidi pasipo mafanikio. Nikaanza kuchanganyikiwa baada ya kuona hela ya mwisho ndio naiharibu vile bila mafanikio. Nilianza kukonda sasa. Mke hakunizingatia tena kama mumewe, nikawa rough sababu hanijali.
Kilipobaki kiasi kidogo nikaona sio kesi, ngoja nijilipue kwenda mikoani huko kupambana upya sababu kwa pale ingekuwa ngumu kwangu. Nikaacha kiasi kadhaa kwa wife nikamwambia naenda kupambana, nitarudi. Nikatembea.
Hazikupita hata siku tano tangu niondoke, nikaanza kupokea simu za majirani kuuliza mbona ninahama kimyakimya? Ikawa taarifa ya kushangaza sana kwangu, sababu sitambui hilo. Nikampigia simu wife, akadai anaondoka zake. Hawezi kukaa na mtu asiyeeleweka, eti hata akiugua serious mtoto au yeye au changamoto yoyote kubwa nitawasaidia vipi.
Aisee nililia, sikujua hata wapi anaelekea. Nikapiga simu kwao ila ni kama hakuna aliejali, ni kama walikuwa sehemu ya mpango huo. Nikapiga simu Nyumbani kumueleza mama na baba, kwakuwa walikuwa wanajua fukuto lililokuwepo kwangu tangu nipoteze kazi waliishia kunipa pole na kuniambia nikaze moyo, wala nisihangaike nae huyo mwanamke. Nipotezee tu. Ilikuwa ngumu. Hata nilipoenda sikufanya kilichonipeleka. Niliishia kurudi tena kwangu, nikakuta kimesombwa kila kitu. Hii isikie tu kwa mwenzako, hapo sina hata mia.
Hapo ndipo nikaamini ukipoteza kazi hakuna wa kuhangaika na wewe. Utapoteza kila kitu. Nilipoteza kuanzia mke, mali zangu na hata wale marafiki niliowahi kuwa nao sio nyumbani wala kazini. Niliishia kusemwa tu na hakuna aliyejaribu kunisaidia.
Naweza sema nilikuwa kama nimewehuka, nilikuwa mchafu, mzururaji, full kulia tu. Nilijuta kumjua yule mwanamke, sababu sidhani kama kupoteza kazi ndio alitakiwa kunifanyia vile. Alipaswa awe faraja yangu, atulize akili yangu ili niwaze kwa utulivu namna ya kupata tena kazi ila ndio akanivuruga nikarudi hadi zero tena.
Nilikaa almost 7 Months kwenye hali ile. Watu walijua nimeshachanganyikiwa japo mimi nilijua niko sawa kabisa. Hawakunizingatia isipokuwa wazazi wangu, nawashukuru sana. Sikukata tamaa.
Nilikuja kupata kazi kampuni nyingine kwenye Mradi wa Bwawa la Rufiji. Nilijiapiza kupiga kazi kwa uchungu sana. Nimefanya kwa takribani mwaka na nusu hadi kufikia mwezi wa nane mwaka huu nikamaliza. Nimerudisha maisha yangu kwenye mstari kabisa. Nina furaha na nguvu nyingi.
Muda wa kumaliza kule ulipokaribia, ni kama mwezi wa tano nilituma CV zangu jijini Mwanza kwenye kampuni moja ya ujenzi ambayo majibu yake yametoka almost 3 weeks ago na sasa nipo huku napiga kazi.
Kilichobaki ni mwanangu tu kumpata, sababu yule mwanamke nasikia yupo Uganda kwa sasa.
Umetisha MkuuPole sana ila zingatia haya
1. Usisomeshe mchumba
2. Asikuzidi akili
3. Asikuzidi kipato
4. Mzalishe watoto watatu harakaharaka kuneutralize moment au kumkeep busy na familia.
5. Nyumbani kwako mfumo dume utawale siku zote maana wanawake wanapaswa kutawaliwa na wanaune sio kutawala.
Cha mwisho uwe unakuja kwenye vikao vyetu wanaume au ukikosa muda basi tuma mwakilishi awe me au tuma hela ya ada ya chama ili usipitwe na mafunzo ya kila wiki.
Hapana penda mtoto wa MaMkwe mazima. Akizingua tokomea mazima pia. Be flexible[emoji3]Pole sana Kaka kwa majanga ya kimapenzi, kifamilia, kijamii na kiuchumi yaliyokukuta. Wanaumeee, kila tunapopenda twapaswa kuweka akiba ya upendo. Kupenda jumla jumla kunasababisha maumivu ya moyo na kuvurugika kwa moyo, ubongo na maamuzi kuwa yasiyo na mpangilio.
Kosa lingine ni kuwaamini wanaotuzunguka. Baada ya kupigwa chini kazini hukupaswa kutaka kazi za kuajiriwa kwa haraka huku ukiwa na sakata la kuachishwa.
Ushauri wangu: kwa sasa acha kumfikiria yule mwanamke na mtoto. Oa mwengine uendelee na maisha. Huyo mwanao atakutafuta tu.
Jengine; mke/mchumba HASOMESHWI. Hili nalo ni kidonda kwa wenye ule ugonjwa wa SIMP.
Pole sana mkuu,haikuwa rizikiWakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya.
Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine.
Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu, inawezekana ni sababu ya mapenzi anayokupa kabla mambo hayajaharibika, unaona kwa upendo anaokuonyesha hawezi akawa mbaya kwako.
Ni miaka kadhaa imepita, baada ya kumaliza kusoma nilibahatika kupata mkataba kufanya kazi kampuni X. Baada ya maisha kuanza kuwa kwenye mstari niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja mrembo sana, mkarimu na mwenye kujali.
Familia aliyotokea ilikuwa ni ya kawaida tu, ilipambana kumsomesha lakini haikumfikisha kwenye level ya ndoto zake kulingana na hali ya kipato. Kwakuwa nilimpenda sana, nilifanya taratibu za kutaka kumuoa. Nilienda kwao nikatoa kiasi fulani cha pesa ili niishi na mtoto wao. Walinikubalia, tena kwa furaha kubwa sana. Kiasi cha mahari sikutoa chote, niliahidi nitamalizia baada ya muda fulani. Hilo likafanikiwa.
Nilimpenda sana binti, nae alirespond the same. In short niliona nimepata furaha ya moyo, tukapata mtoto wa kiume na kweli nilienjoy.
Siku zote Binti alikuwa akinieleza kwa uchungu namna alivyotamani kusoma ila uwezo wa kifedha haukuruhusu, huku akisisitiza bado anatamani kufikia lengo. Sikuona vibaya, kwakuwa tayari ni mke kwangu nikampeleka Chuo husika cha fani husika nikalipa ada na akaanza rasmi kusoma.
Siku hazikukawia alimaliza. Baada ya kumaliza tu, akawa amepata kazi pia kwenye shirika moja lisilo la kiserikali hapahapa mjini. Tuliendelea kuishi kwa furaha kama kawaida.
Kuna changamoto ilikuja kutokea pale kazini kwangu ambayo sitoitaja hapa, ilipelekea mimi na wafanyakazi wengine Watatu kupoteza kazi. Hapa ndipo mambo yalipoanza kuzua utofauti. Nilipambana sana kufix hilo jambo sababu limekuja ghafla sana pasipo mategemeo, ilikuwa ni case kubwa iliyopelekea kuyumba kuanzia uchumi hadi mahusiano. Nilipoteza sana fedha kwenye kufix hilo ila hakukuwa na mafanikio.
Rasmi nikaanza kuonekana mzigo kwa familia yangu. Sikuweza tena kutoa huduma kama ilivyokuwa mwanzo, nikashindwa kuyamudu majukumu yangu kama awali. Ilibidi mwanamke aanze kufukia baadhi ya mapungufu sasa sababu hakukuwa na namna.
Msiombe kufikia hatua hii wakuu, ni fedheha sana. Nilianza kudharaulika na mwanamke. Maneno yakawa mengi, ikafikia hatua akawaambia hadi kwao kuwa amechoka kuwa na mwanaume asiye na mchango wowote. Wazazi nao wakasahau kabisa hata mazuri yangu, wakaanza kumshinikiza aondoke kwangu. Akawa mjeuri na kunitishia kuondoka aone ntaishije, ina maana ninaishi sababu yake, bila yeye ntateseka sana.
Kuna pesa nilikuwa nikiihifadhi sehemu sikutaka kuigusa kwa hali yoyote ile sababu nilikuwa na lengo la kuja kufungua biashara. Pesa hiyo ilikuwa ni nje na akiba ambayo niliitumia kufix mambo ya kazini. Nilipoona nimeshindwa kuvumilia fedheha na maneno ndani, ikabidi nianze kuitumia kutafuta kazi nyingine kwa kuhonga sehemu tofauti tofauti ili niingizwe kwenye kazi kivyovyote, nadhani hapa nilifanya kosa kubwa.
Ni kwakuwa akili haikuwaza kwa utulivu, nilitaka solution ya haraka kumbe ndio naharibu. Nilijikuta napoteza hela zaidi na zaidi pasipo mafanikio. Nikaanza kuchanganyikiwa baada ya kuona hela ya mwisho ndio naiharibu vile bila mafanikio. Nilianza kukonda sasa. Mke hakunizingatia tena kama mumewe, nikawa rough sababu hanijali.
Kilipobaki kiasi kidogo nikaona sio kesi, ngoja nijilipue kwenda mikoani huko kupambana upya sababu kwa pale ingekuwa ngumu kwangu. Nikaacha kiasi kadhaa kwa wife nikamwambia naenda kupambana, nitarudi. Nikatembea.
Hazikupita hata siku tano tangu niondoke, nikaanza kupokea simu za majirani kuuliza mbona ninahama kimyakimya? Ikawa taarifa ya kushangaza sana kwangu, sababu sitambui hilo. Nikampigia simu wife, akadai anaondoka zake. Hawezi kukaa na mtu asiyeeleweka, eti hata akiugua serious mtoto au yeye au changamoto yoyote kubwa nitawasaidia vipi.
Aisee nililia, sikujua hata wapi anaelekea. Nikapiga simu kwao ila ni kama hakuna aliejali, ni kama walikuwa sehemu ya mpango huo. Nikapiga simu Nyumbani kumueleza mama na baba, kwakuwa walikuwa wanajua fukuto lililokuwepo kwangu tangu nipoteze kazi waliishia kunipa pole na kuniambia nikaze moyo, wala nisihangaike nae huyo mwanamke. Nipotezee tu. Ilikuwa ngumu. Hata nilipoenda sikufanya kilichonipeleka. Niliishia kurudi tena kwangu, nikakuta kimesombwa kila kitu. Hii isikie tu kwa mwenzako, hapo sina hata mia.
Hapo ndipo nikaamini ukipoteza kazi hakuna wa kuhangaika na wewe. Utapoteza kila kitu. Nilipoteza kuanzia mke, mali zangu na hata wale marafiki niliowahi kuwa nao sio nyumbani wala kazini. Niliishia kusemwa tu na hakuna aliyejaribu kunisaidia.
Naweza sema nilikuwa kama nimewehuka, nilikuwa mchafu, mzururaji, full kulia tu. Nilijuta kumjua yule mwanamke, sababu sidhani kama kupoteza kazi ndio alitakiwa kunifanyia vile. Alipaswa awe faraja yangu, atulize akili yangu ili niwaze kwa utulivu namna ya kupata tena kazi ila ndio akanivuruga nikarudi hadi zero tena.
Nilikaa almost 7 Months kwenye hali ile. Watu walijua nimeshachanganyikiwa japo mimi nilijua niko sawa kabisa. Hawakunizingatia isipokuwa wazazi wangu, nawashukuru sana. Sikukata tamaa.
Nilikuja kupata kazi kampuni nyingine kwenye Mradi wa Bwawa la Rufiji. Nilijiapiza kupiga kazi kwa uchungu sana. Nimefanya kwa takribani mwaka na nusu hadi kufikia mwezi wa nane mwaka huu nikamaliza. Nimerudisha maisha yangu kwenye mstari kabisa. Nina furaha na nguvu nyingi.
Muda wa kumaliza kule ulipokaribia, ni kama mwezi wa tano nilituma CV zangu jijini Mwanza kwenye kampuni moja ya ujenzi ambayo majibu yake yametoka almost 3 weeks ago na sasa nipo huku napiga kazi.
Kilichobaki ni mwanangu tu kumpata, sababu yule mwanamke nasikia yupo Uganda kwa sasa.
Umeandika vizuri sana!! Kwenye jamii yetu imejengwa tabia Ya kuona wizi Kazini ni kitu cha kawaida kabisaa.. Ukisoma maelezo Ya huyu Dogo ni wazi aliiba Kazini.. Wizi ni laana ndugu zangu haijalishi umeiba wapi? Kiufupi aliharibu maisha yake mwenyewe Kwa wizi. Mwanamke wala hahusiki Kwa sababu Hakuna popote aliposema mwanamke ndo alimshauri kufanya makosa Kazini.. Anadai alikuwa anampenda Sana mke wake, Kwa hiyo wangekula huo upendo au wangekula Faraja.. Vipi kutibiwa, ingetokea mmojawao kuumwa wangetibiwa na upendo!? Tafuta pesa Kijana acha kutafuta huruma!Title inasema mwanamke kakuharibia maisha…
Ila ndani ni kama kuna wizi ulishiriki huko ofisni kwenu wakawatimua. Haya maofisi hakuna dhambi mbaya kama ya wizi.
Nyakati ngumu mara zote ndio zinatudhihirishia ni watu gani tumewahold… hata we waweza kuwa mfano mbaya katika nyakati ngumu ya fulani. Kwa kifupi tu, tumuombe Mungu atuepushe na hizo nyakati ngumu.
Kwa huyo dada nae hakufanya vyema kukukimbia. Ona ushajipata now akisikia atabaki na muhaho.
akili ninayozungumzia ni ile common sense yaani mfano inakuja mada fulani halafu anaona unachangia utumbo hapo atakudharau, kifupi uwe mjanjamjanja wa kujua mambo mengi kuliko yeye, kupika upo vizuri, masuala mbalimbali ya nchi unakuwa na uelewa nao japo basics, ukija kwenye mpira angalau hata kama sio shabiki ila ujue hata taifa stars ni nini. Mwanamke anataka mwanaume aliyemzidi kwa akili, maono, usafi ,fedha n.k. hapo ndio heshima ya kiume inapokuja.Umetisha Mkuu
Ila unamaanisha nini unaposema mwanamke asikuzidi akili?
Nilikua kwnye bwawa la umeme rufiji (JNHPP.).. kule lazima upambane mkuu hakuna namna!..Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya.