Mwanamke alivyosababisha nichelewe usaili wa mrija wa asali

Mwanamke alivyosababisha nichelewe usaili wa mrija wa asali

Mlionitumia pesa (wawili wa humu JF), mmoja ilileta namba mwingine haikuleta namba.

Uzi huu nimeuleta mahsusi kwa ajili yenu, natambua mlijinyima mkatoa mali yenu, japo ndiyo hivyo, nilipambana ikashindikana. Kwa ambaye wakati anatuma ilileta na namba, nitakurudishia kesho (maana niliona nikirudisha pesa pasipo maelezo ya kwanini inarudi isingekuwa sawa). Walau sasa hivi hata ukiona muamala utajua pesa imerudi kwa sababu haikutumika kwa lengo kusudiwa.

Kwa ambaye ulituma pesa kupitia wakala nadhani (....STORE...), nitafunga PM yangu hadi kesho saa nne, utaniandikia namba yako huko (utaje na jina la agent lililokuja huku) nami nitakurudishia pesa yako.

Asanteni sana. Kesho nitakuja na uzi wa the way forward (maana kama ajira imekosekana, maisha ya utafutaji sharti yasonge).
Pole kaka haikua riziki yako,utapata kungine
 
Siku nyengine uwe na plan B, hakikisha una contact ya wanaokufqnyia usaili, endapo kuna uchelewaji wowote wa kimsingi unatoa taarifa kwao wanaweza ku re schedulmuda wa usaili wako na pia inawezekana mko wengi so hilo lory lililokuwa lifike saa nne lingekusaidia, kumbuka pia nimeshawahi kuona usaili nyingi hazianzi kwa wakati.
 
Back
Top Bottom