Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma unahisi hautakuwa salama kwenye mahusiano,usimguse,muache aende,auu muulize kwa Nini umenikubali wakati uliwahi nikataa,majibu yake yataamua uendelee au usiendelee,zikiiisha atanikimbia, shida sio kumpea pesa ila si atanifanya nisiwe secure na maisha yangu ya kimahusiano?
naamini hata niwe na hela vipi kuna wanaume wenye hela kunizidi,akikutana nao at that time age ya kuruka na kila mwanamke imeshaniacha si ndio ataniacha nizeeke mwenyewe huyu?
we mpumbavu ndo unataka uoe??Simple tuu ni hivi Unatumia hela zako kumfanya awe single mother alafu unapita hivi una mwacha apambane na hali yake.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
MkuuKuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi,bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako...
unamtesa mtoto wako mkuu,kumpa mtoto ni kummegea robo ya mali zako sidhani kama anastahili hili.Simple tuu ni hivi Unatumia hela zako kumfanya awe single mother alafu unapita hivi una mwacha apambane na hali yake.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Usimzalishe ukajikuta unawajibika KWA miaka mingi ijayo halafu maumivu yake ukayabeba UZEENI baada ya kumfanya yeye Tajiri!!Asante mkuu nadhani hiii inafaa zaidi
Fanya vile nafsi yako inaridhiakwamba nisimguse kabisa mkuu? ni mzuri huyoo kumuacha hv hv hadi roho inauma
Hao wee ni kuwakula tuu na baada ya kumvua kyupi mara tatu tupa kule.Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi,bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako...
Huyo Dem kafata pesa live, kuona gari katoa namba na tabasamu juu, pesa tamuuu, fa mchezo na pesafanya hivi mkuu....
hutojutia
Pesa Mara nyingi inaleta watu fake kwenye Maisha yako, hata Marafiki wengine wanakua na urafiki na wwe kisa pesa yako,na pesa ikikata hata simu yako hawatapokea tena! Pesa na Madaraka ni vya kuangalia sana!!Huyo Dem kafata pesa live, kuona gari katoa namba na tabasamu juu, pesa tamuuu, fa mchezo na pesa
Yah nilishawai mfanyia hivyo manzi mmoja nikamfanya kua mnyonge Sana kwangu coz alionesha tamaa Sana ya pesa na Mimi sikutaka kuzingua nilimpa na ahadi tele ila alipovua chupi wee nilikua kama sio yule alikua akiomba pesa namwambia njoo geto akija namla ndio Nampa akaanza nilaumu kuwa natreat kama Malaya badae akawa haombi kabisaaKama una mpango wa KUOA hapo achana nao kabisa.
Wanawake wa dizaini hiyo ni kuwafanya "watumwa". Kama akikuomba hela usimpe mpaka mkutane mkulane, yani hela unampa baada ya "show". No show no money. That way atajigundua kuwa yeye ni muuzaji na itamuuma (hapa kama ni kweli sio muuzaji).
Na akithubutu kufunua mdomo kuwa humpi hela mpaka "umkule" unamjibu tu mbona yeye kipindi huna pesa alikua hata salamu haitikii.