DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wezi Sana๐๐๐Ni kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.
Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.
ukiona demu kila mtandao wa kijamii anatumia profile picture moja tu ujue huyo ana sura ya baba na hiyo picha moja ndio katumia ufanisi wake wote wa ku edit. Miaka 3 mtoto wa kike DP hiyo hiyo whatsapp, facebook, instagram.Wezi Sana๐๐๐
duh! kizazi kinakwenda mbio mno hata mimi nimewahi shuhudia hilo kwa ndugu yangu and mara zote watu wa namna hiyo wako updated na hizo sijui filters mpya mpya zinazoingizwa sokoni.......Wanawake hasa Hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea Jana rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.
Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa Fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.
This is stolen Generation
[emoji23]Sasa si ndo umpemdezeshe awe Kama ulomuona kwenye picha? Wewe unataka ukute kapendezeshwa afu ndo umchukue?
Siku hizi Kuna Snapchat.Aliyegundua filter hakuwa na pesa ya kujipodoa HD kuridhika... Series inaendelea
Walikuwa wanajitahid kunyutrolaizi Emotional pain wanazopata wadada kwa kukujiona wamepungukiwa kitu fulani usoni.Siku hizi Kuna Snapchat.
Akikuwekea mode ya "beauty"alafu akafotoa picha unasema Beyonce huyu hapa.
Alaaniwe aliyebuni ile app.
Kweli lakini ukiwa mkweli inapendeza kujikubaliUzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Kweli Kabisa mkuu! Teknologia inatusevu sana wanawake!Kweli lakini ukiwa mkweli inapendeza kujikubali
Ni mawazo yake lakini asante kwa kufatilia komenti yake !Sikia huyo anasema uzuri ni moyo ๐คฃ๐คฃ
Wacha maneno yako
Wewe mbona mzuri sura, umbo la kuvutia, tabia nzuri, moyo mzuri yani una kila kitu kizuri ๐๐๐Uzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Iiiiiiggggwwhhhhh๐๐๐๐!!Wewe mbona mzuri sura, umbo la kuvutia, tabia nzuri, moyo mzuri yani una kila kitu kizuri ๐๐๐