Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is a stolen generation.
 
Ni kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.

Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.
 
Wezi Sana😀😀😀
 
Wanawake hasa Hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea Jana rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa Fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is stolen Generation
duh! kizazi kinakwenda mbio mno hata mimi nimewahi shuhudia hilo kwa ndugu yangu and mara zote watu wa namna hiyo wako updated na hizo sijui filters mpya mpya zinazoingizwa sokoni.......
 
Ila wanawake sisi waKiafrica hatujiamin hatupendi tulivyoumbwa,tunataman tungekuwa waarabu au wazungu,kujichubua ,mawigi na zile babyhair sasa[emoji23][emoji23] mtu anajiona mwarabu na ile mikope
Kwenye harusi wanavaa kihindi
Tamaduni zetu zipo wapi?zaman bib harusi walivaaje wa kiislamu sisi hatuna mavazi yetu mpaka tuvae ya kihindi
 
Back
Top Bottom