Hakuna wanawake wazur kama weusi ni vile tu hawajijui , mwanamke mweusi mzur anaejipenda hauwez mlinganisha na mweupe hata kidgo , tatzo wasukuma ni wengi apa tz kura zao ni kura za taifa.
😂😂😂Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.
Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.
This is a stolen generation.
Hahahahah nilikuwa nawajibika tu kiofisi. Wewe ndio useme umejifichia wapi leo.Pole sana. Ulifungiwa wapi maana hii hali ya hewa si mchezo
Wanaume filter yetu ni pesa tu.[emoji23] Mie mweusi alafu rangi yangu tamuu wee najipendaje. Filter wote tu tunatumia bwana wanaume wenyewe wapo wanaotumia filter itakua sie
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ulivyowakamia mwambaNi kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.
Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.
Hatubebi mashine wala nini...tunajua tunachokitafuta...[emoji116][emoji116][emoji116]Mtajua wenyewee!!
Chuchu konzi zileKweli Kabisa mkuu! Teknologia inatusevu sana wanawake!
EbuNakaziaaaaaaaaaaaaaaa [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]!!
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.
Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.
This is a stolen generation.
Mnafundishana utapeli eeh🤣Nitakufundisha kipenzi uwanyooshe.
Kwa kweli ni ulimbukeni wa hali ya juu kudhani kwamba mtu akiwa mweupe ni mzuri na akiwa mweusi ni mbaya.Ila wanawake sisi waKiafrica hatujiamin hatupendi tulivyoumbwa,tunataman tungekuwa waarabu au wazungu,kujichubua ,mawigi na zile babyhair sasa[emoji23][emoji23] mtu anajiona mwarabu na ile mikope
Kwenye harusi wanavaa kihindi
Tamaduni zetu zipo wapi?zaman bib harusi walivaaje wa kiislamu sisi hatuna mavazi yetu mpaka tuvae ya kihindi
Iko wazi Wigee!!☺️Ebu
Nifungulie pm
Tabia atabutuliwa na mumewe abadilike🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Hatubebi mashine wala nini...tunajua tunachokitafuta...[emoji116][emoji116][emoji116]
BL [emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 2561262
Hata hao wanawake wanataka wanaume ambao tayari wana pesa.Hili nalo neno mkuu. Wanaume tunatamani vile ambavyo vilishapendezeshwa tu. Nasi tuchukue majukumu ya kuvipendezesha ili tujisifie
Ndiyo. Lazima hela zenu ziliwe kwa namna yoyote ile.Mnafundishana utapeli eeh[emoji1787]
Na wewe ni team natural?Ila wanawake sisi waKiafrica hatujiamin hatupendi tulivyoumbwa,tunataman tungekuwa waarabu au wazungu,kujichubua ,mawigi na zile babyhair sasa[emoji23][emoji23] mtu anajiona mwarabu na ile mikope
Kwenye harusi wanavaa kihindi
Tamaduni zetu zipo wapi?zaman bib harusi walivaaje wa kiislamu sisi hatuna mavazi yetu mpaka tuvae ya kihindi
Nakazia 📌📌📌📌Hili nalo neno mkuu. Wanaume tunatamani vile ambavyo vilishapendezeshwa tu. Nasi tuchukue majukumu ya kuvipendezesha ili tujisifie
Labda we ni mrembo nachurale...Eeee
Siwezan na urembo mwingi