Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Hakuna wanawake wazur kama weusi ni vile tu hawajijui , mwanamke mweusi mzur anaejipenda hauwez mlinganisha na mweupe hata kidgo , tatzo wasukuma ni wengi apa tz kura zao ni kura za taifa.

Nadhani huu ni msimamo wako, unless tuwe tumekuteua kuwa msemaji wetu.
 
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is a stolen generation.
😂😂😂
 
Ni kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.

Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.
Duh ulivyowakamia mwamba

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mtajua wenyewee!!
Hatubebi mashine wala nini...tunajua tunachokitafuta...[emoji116][emoji116][emoji116]

BL [emoji870][emoji870][emoji870]

Screenshot_20230320_094612.jpg
 
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]!!
Ebu

Nifungulie pm
 
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is a stolen generation.

Stolen generation
 
Ila wanawake sisi waKiafrica hatujiamin hatupendi tulivyoumbwa,tunataman tungekuwa waarabu au wazungu,kujichubua ,mawigi na zile babyhair sasa[emoji23][emoji23] mtu anajiona mwarabu na ile mikope
Kwenye harusi wanavaa kihindi
Tamaduni zetu zipo wapi?zaman bib harusi walivaaje wa kiislamu sisi hatuna mavazi yetu mpaka tuvae ya kihindi
Kwa kweli ni ulimbukeni wa hali ya juu kudhani kwamba mtu akiwa mweupe ni mzuri na akiwa mweusi ni mbaya.
Hakuna uhusiano wowote kati ya weupe na uzuri au weusi na ubaya bali hii ni utumwa wa kifikra tu na hata jamii nzima pia ina makosa kuwaaminisha wanawake kwamba ukiwa mweupe wewe ndio mzuri na ukiwa mweusi wewe sio mzuri.
Kuchubua ngozi kwa lengo la kuwa mweupe ni ujinga tu,hao wazungu wenyewe wanaitamani rangi nyeusi ila hawana jinsi ya kufanya inabidi wajikubali tu vile walivyo maana ngozi yao inawapa shida haina tofauti sana na ualbino.
Mimi binafsi napenda mwanamke mwenye ngozi nyeusi ya asili ndio naona mvuto kuliko mweupe.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ila wanawake sisi waKiafrica hatujiamin hatupendi tulivyoumbwa,tunataman tungekuwa waarabu au wazungu,kujichubua ,mawigi na zile babyhair sasa[emoji23][emoji23] mtu anajiona mwarabu na ile mikope
Kwenye harusi wanavaa kihindi
Tamaduni zetu zipo wapi?zaman bib harusi walivaaje wa kiislamu sisi hatuna mavazi yetu mpaka tuvae ya kihindi
Na wewe ni team natural?
 
Back
Top Bottom