Wapo ambao wanataka muanze pamoja. Mfano ni juu yangu mimi mwenyewe, nilimuimbisha pisi kali moja hivi akanikubalia, katika mapenzi yetu siku moja nikaamua kumpeleka kwenye viassets vyangu, hakika siku hiyo alinyong'onyea sana. Baadae tumekaa sehemu na katika kumuuliza mbona umekuwa hivyo, jibu alilonipa nilichoka mkuu. Aliniambia "NILITAMANI SANA MWANAUME AMBAYE NITAANZA NAE KWA PAMOJA SIO NILIYEMKUTA NA KILA KITU" Mkuu nilichoka. Nilijua kuwa atafurahi na aamini amepata sehemu sahihi kumbe kinyume chakeHata hao wanawake wanataka wanaume ambao tayari wana pesa.
Kama huna pesa za kutosha hawakutaki.
Aah Dejan wangu nakukubali, natural colour karibia na uchotara, hakika umependelewaπ₯°π₯°Eeee
Siwezan na urembo mwingi
π³π³π³Aah Dejan wangu nakukubali, natural colour karibia na uchotara, hakika umependelewaπ₯°π₯°
Mkuu unashangaza nini?π€π³π³π³
π₯² si kweli atiiAah Dejan wangu nakukubali, natural colour karibia na uchotara, hakika umependelewaπ₯°π₯°
π₯΅π³π³π³
Sina uzuri wowoteLabda we ni mrembo nachurale...
Ungekuwa timu sura ya baba labda filter za snapchat ungezitumia tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2561404
Hivi Ni kweli hutupendi wanawake?π€£π€£π€£π€£ Dah jamaa unajua kuwakandia wanawake...kweli mie siwapendi wanawake ila wewe unasema kabisa sura kama fenesiπ²π²π²
Wewe uzuri ni sura na umboUzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
ouwkkeey!!Wewe uzuri ni sura na umbo
Mi nimechombeza kunogesha thirediii tyuπππ₯² si kweli atii
I hate the devil in u women with a passion but i loveeee ur eteleziHivi Ni kweli hutupendi wanawake?
Hatari! Wanataka kutingiza chaka hawa na mafilter yao. Alafu demu akiweka filter hajiamini.Kweli kabisa filter inaficha mengi. Mi kuna mmoja baada ya kuchat sana na kumuona tu kwenye status tulipanga kuonana ajabu nikakuta ana mapele ya ndevu, nilishtuka kidogo japo sikuonyesha maana naona angejisikia vibaya.
Mbona nyie mnaangalia mifukonyetu tuu....mtachomwa moto piaSina uzuri wowote
Snapchat lazima inatutoa waarabu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wanaume mna dhambi mnaangalia chura tu[emoji2301] mtachomwa moto
Huyo mgeni wa mapenzi....mie mwenyewe kuna mrembo alikuwa anasema hivyo nilikuwa nadate nae. Mwee sii akaingia mkenge wakuolewa na mtu ambaye eti watatafuta pamoja....aliyoyakuta humo ndani ya ndoa mwenye kaamua waachane tuu.Wapo ambao wanataka muanze pamoja. Mfano ni juu yangu mimi mwenyewe, nilimuimbisha pisi kali moja hivi akanikubalia, katika mapenzi yetu siku moja nikaamua kumpeleka kwenye viassets vyangu, hakika siku hiyo alinyong'onyea sana. Baadae tumekaa sehemu na katika kumuuliza mbona umekuwa hivyo, jibu alilonipa nilichoka mkuu. Aliniambia "NILITAMANI SANA MWANAUME AMBAYE NITAANZA NAE KWA PAMOJA SIO NILIYEMKUTA NA KILA KITU" Mkuu nilichoka. Nilijua kuwa atafurahi na aamini amepata sehemu sahihi kumbe kinyume chake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza rudia kwanguvu sista[emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈ πππ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza rudia kwanguvu sista[emoji23][emoji23][emoji23]