Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Hata hao wanawake wanataka wanaume ambao tayari wana pesa.
Kama huna pesa za kutosha hawakutaki.
Wapo ambao wanataka muanze pamoja. Mfano ni juu yangu mimi mwenyewe, nilimuimbisha pisi kali moja hivi akanikubalia, katika mapenzi yetu siku moja nikaamua kumpeleka kwenye viassets vyangu, hakika siku hiyo alinyong'onyea sana. Baadae tumekaa sehemu na katika kumuuliza mbona umekuwa hivyo, jibu alilonipa nilichoka mkuu. Aliniambia "NILITAMANI SANA MWANAUME AMBAYE NITAANZA NAE KWA PAMOJA SIO NILIYEMKUTA NA KILA KITU" Mkuu nilichoka. Nilijua kuwa atafurahi na aamini amepata sehemu sahihi kumbe kinyume chake
 
Labda we ni mrembo nachurale...

Ungekuwa timu sura ya baba labda filter za snapchat ungezitumia tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

View attachment 2561404
Sina uzuri wowote
Snapchat lazima inatutoa waarabu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wanaume mna dhambi mnaangalia chura tu[emoji2301] mtachomwa moto
 
Kweli kabisa filter inaficha mengi. Mi kuna mmoja baada ya kuchat sana na kumuona tu kwenye status tulipanga kuonana ajabu nikakuta ana mapele ya ndevu, nilishtuka kidogo japo sikuonyesha maana naona angejisikia vibaya.
 
Ni wewe acha dhambi ya kumsingizia rafiki yako,,farlahh Wewee!!!
 
Kweli kabisa filter inaficha mengi. Mi kuna mmoja baada ya kuchat sana na kumuona tu kwenye status tulipanga kuonana ajabu nikakuta ana mapele ya ndevu, nilishtuka kidogo japo sikuonyesha maana naona angejisikia vibaya.
Hatari! Wanataka kutingiza chaka hawa na mafilter yao. Alafu demu akiweka filter hajiamini.
 
Wapo ambao wanataka muanze pamoja. Mfano ni juu yangu mimi mwenyewe, nilimuimbisha pisi kali moja hivi akanikubalia, katika mapenzi yetu siku moja nikaamua kumpeleka kwenye viassets vyangu, hakika siku hiyo alinyong'onyea sana. Baadae tumekaa sehemu na katika kumuuliza mbona umekuwa hivyo, jibu alilonipa nilichoka mkuu. Aliniambia "NILITAMANI SANA MWANAUME AMBAYE NITAANZA NAE KWA PAMOJA SIO NILIYEMKUTA NA KILA KITU" Mkuu nilichoka. Nilijua kuwa atafurahi na aamini amepata sehemu sahihi kumbe kinyume chake
Huyo mgeni wa mapenzi....mie mwenyewe kuna mrembo alikuwa anasema hivyo nilikuwa nadate nae. Mwee sii akaingia mkenge wakuolewa na mtu ambaye eti watatafuta pamoja....aliyoyakuta humo ndani ya ndoa mwenye kaamua waachane tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza rudia kwanguvu sista[emoji23][emoji23][emoji23]
🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️ 😁😁😁!
Watu wamenipopoajee nahio wazo yangu🙌🙌🙌
"mwanamke shepu sijui matrak sura watajua wenyewe 😁😁😁
 
Back
Top Bottom