Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye


📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌

Kweli Kabisa kujikubali ndio mpango mzima!
 
Nyie mnaojua kutoa kasoro binadamu wenzenu Mara nyingi huwa ni wabaya kuanzia sura hadi umbo.
ondoa makasiriko ndugu. Chunusi si maradhi na punguza ku ji edit.

Maisha mafupi mno kuchukulia kila kitu serious dada yangu.

Mimi hakuna sehemu niliyosema ni mzuri ikizingatiwa mwanaume hajisifii uzuri.


Picha yangu hiyo hapo no filter.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mna dhambiiii khaaaaah
 
ukiona demu kila mtandao wa kijamii anatumia profile picture moja tu ujue huyo ana sura ya baba na hiyo picha moja ndio katumia ufanisi wake wote wa ku edit. Miaka 3 mtoto wa kike DP hiyo hiyo whatsapp, facebook, instagram.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee Kaka jamani, khaaaaah
 
Uzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Shougaaaa angu nifundishee kutumia filter, kuna mtoto wa mtu nataka nimpigee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyieee[emoji1787]roho mbaya tu mfyuu[emoji22]
 
Sasa dear mavazi yetu si ni kaniki na rubega.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo tuvae hivyoooo.
 

Uko sawa mwamba video call ndo solution
 
ushawahi kutana na mtu ana chunusi kavu sura nzima, ukifanya mchezo ukajifanya romantic kupitisha mkono usoni unachubuka kiganja[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaaa km mwehu hapaaa.
 
Sasa dear mavazi yetu si ni kaniki na rubega.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo tuvae hivyoooo.
Mbavu zanguuu hukuuuu nyieeee🤣!! Nani akubali kuonekana kiazi cherema thubutuuuu!☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…