Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume.

Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe amebakwa.

Kijana mwenzangu. Usiogope wala kuhofia chochote kumuhukumu mwanamke kwa kigezo cha body count, past yake, bikira au kigezo chochote ambacho dunia ya leo imekuaminisha sio u-gentleman

Achana na upumbavu wa past doesn't matter. Her past matter a lot. Hata wao wenyewe wanalijua ilo ndio maana wakiulizwa kuhusu body count huwa hawataji namba halisi.

Wakati anabikiriwa haukuhusika Kwanini ujisikie vibaya kwa sababu umemkataa sasa hivi akiwa na namba kubwa ya body count?

Wakati bado ana chuchu saa sita alikuweka kwenye blacklist, kwamba wewe sio type yake. Kwanini ujione una hatia ukimkataa sasa hivi maziwa yakiwa yamelala?

Kwanini ujione umekosea ku-hit and run kwa mwanamke ambae tayari na wanaume wengine washa-hit and run?

Kwanini umtolee mahari mwanamke ambae wenzako walipiga bure au kwa ofa ya chipsi? Don't be stupid. The moment she broke her virginity she lost that right. It's not worth paying bride price to a woman who she is no longer a virgin

Ukifika wakati wako una karata ya ndoa mkononi usimuonee huruma mwanamke, kwa sababu ukirudisha muda nyuma mpaka kwenye prime yake wakati ana karata ya sex asingekuonea huruma.

When it comes to their interests women are cruel and ruthless. If she got a wild card in her hands she will stand firm and determined to dump you or destroy your life completely. So stop pitying a woman because if you turn the situation vice versa she will never pity you.

Don't be a simp.
 
Kama mwanaume ukioa mfunze mtoto wa kiume tabia za mwanaume sio za kivulana
Napenda mafunzo ya kumfungua kijna wakiume maisha halisia nasio hizi habri za Simba na yanga
 
Wakati anabikiriwa haukuhusika Kwanini ujisikie vibaya kwa sababu umemkataa sasa hivi akiwa na namba kubwa ya body count?
Aisee,
Tatizo ni hapo kwenye idadi kubwa ya body count.
Na kwa kuwa hiyo taarifa inalindwa sana, ni vigumu kuijua kwa usahihi
 
Kama sio bikira basi angalao ukututane nae akiwa na umri mdogo(19-22). Lakini umekutana akiwa 25+ Kuna probability kubwa ya kukutana engine ishatembea mileage nyingi sana
 
Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume.

Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe amebakwa.

Kijana mwenzangu. Usiogope wala kuhofia chochote kumuhukumu mwanamke kwa kigezo cha body count, past yake, bikira au kigezo chochote ambacho dunia ya leo imekuaminisha sio u-gentleman

Achana na upumbavu wa past doesn't matter. Her past matter a lot. Hata wao wenyewe wanalijua ilo ndio maana wakiulizwa kuhusu body count huwa hawataji namba halisi.

Wakati anabikiriwa haukuhusika Kwanini ujisikie vibaya kwa sababu umemkataa sasa hivi akiwa na namba kubwa ya body count?

Wakati bado ana chuchu saa sita alikuweka kwenye blacklist, kwamba wewe sio type yake. Kwanini ujione una hatia ukimkataa sasa hivi maziwa yakiwa yamelala?

Kwanini ujione umekosea ku-hit and run kwa mwanamke ambae tayari na wanaume wengine washa-hit and run?

Kwanini umtolee mahari mwanamke ambae wenzako walipiga bure au kwa ofa ya chipsi? Don't be stupid. The moment she broke her virginity she lost that right. It's not worth paying bride price to a woman who she is no longer a virgin

Ukifika wakati wako una karata ya ndoa mkononi usimuonee huruma mwanamke, kwa sababu ukirudisha muda nyuma mpaka kwenye prime yake wakati ana karata ya sex asingekuonea huruma.

When it comes to their interests women are cruel and ruthless. If she got a wild card in her hands she will stand firm and determined to dump you or destroy your life completely. So stop pitying a woman because if you turn the situation vice versa she will never pity you.

Don't be a simp.
Aya yako ya mwisho umemaliza kila kitu.
"When it comes to their interests women are cruel and ruthless."
 
Back
Top Bottom