Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Ww unaongea ukweli asilimiabkubwa ya wanawake ukiwasaidia hasa msaada miubwa nadhan huwa wanapata mawazo watarudisha vp fadhila kukufanya uone anathamin msaada wako so hukikuta wanaoffer papuchi kama fadhila ya juu zaid anayoweza rudisha kwa mwanaume aliemsaidia
 
Wanawake wengi akili zao huwa zipo kwenye "honey pot"yaani ndio anaitegemea kwa kila kitu kuendeshea maisha yake...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

We jamaa comment zako bana
 
Hao wanaogawa papuchi ni Malaya binadamu yoyote anahitaji msaada sio in turn utoe mwili wako kama shukrani hyo bad manner kabisa, inabidi mtu wa hvo kumkimbia tu.
Dada ni kawaida kufikiria kuonesha return kwa mtu aliekusaidia jambo hii ni hali ya kibinadam kabisaa mfano hapa kwangu nina vimigomba na mipapai nimepanda so ikitokea nimevuna ndizi nawagawia baadhi ya majiran kiasi hii imefanya majirani nao wakivuna vindizi vyao nao wanaleta kwangu mfano mwingine kuna jiran yangu ni mwislam mm mkristo so sikukuu kama pasaka au X mass wife akipika mapochopocho yake anaweka kwenye hotpot anawapelekea hio nadhan imefanya nao sikukuu za Eid zikifika wakipika nao wanatugawia chakula...the same applies kwa hao wanawake ambao wanasaidiwa na wanasaidiwa then wanaoffer papuchi
 
Sure mkuu hii kawaida sanaaa kwa haa dada zetu
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Ila papuchi yako naitamani kichiziiiii
 
Si umpe hata mara moja uendelee na mambo mengine mzee.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msaada wa kiubinadamu ni mzuri na ku return favor ni muhimu Ila sio nimekupa msaada utake kunirudishia favor ya ngono hyo sikubaliani nayo
 
Dah kumbe jamaa bado wanawake eeeh? Wanawake wanahitaji hakika ya mtu aliyenaye bhas aonekane anajaliwa nn na vitu vying akihis Yuko salama unapewa kwahy no juu yk kujikinga na MACHAFU ya ULIMWENGU huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…