Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Sawa dada hauko hivyo na hata mimi binafsi ukinisaidia ili nikutunuku papuchi ujue unajisumbua ila kwa uzoefu wangu yaani wanawake wengi huwa wanaoffer papuchi baada ya msaada,yaani utashangaa mtu kamsaidia kwa roho moja tu lakini mdada atajibaraguza weee mpaka ampe papuchi
Ww unaongea ukweli asilimiabkubwa ya wanawake ukiwasaidia hasa msaada miubwa nadhan huwa wanapata mawazo watarudisha vp fadhila kukufanya uone anathamin msaada wako so hukikuta wanaoffer papuchi kama fadhila ya juu zaid anayoweza rudisha kwa mwanaume aliemsaidia
 
Wanawake wengi akili zao huwa zipo kwenye "honey pot"yaani ndio anaitegemea kwa kila kitu kuendeshea maisha yake...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

We jamaa comment zako bana
 
Hao wanaogawa papuchi ni Malaya binadamu yoyote anahitaji msaada sio in turn utoe mwili wako kama shukrani hyo bad manner kabisa, inabidi mtu wa hvo kumkimbia tu.
Dada ni kawaida kufikiria kuonesha return kwa mtu aliekusaidia jambo hii ni hali ya kibinadam kabisaa mfano hapa kwangu nina vimigomba na mipapai nimepanda so ikitokea nimevuna ndizi nawagawia baadhi ya majiran kiasi hii imefanya majirani nao wakivuna vindizi vyao nao wanaleta kwangu mfano mwingine kuna jiran yangu ni mwislam mm mkristo so sikukuu kama pasaka au X mass wife akipika mapochopocho yake anaweka kwenye hotpot anawapelekea hio nadhan imefanya nao sikukuu za Eid zikifika wakipika nao wanatugawia chakula...the same applies kwa hao wanawake ambao wanasaidiwa na wanasaidiwa then wanaoffer papuchi
 
Baadhi yenu ndivyo mlivyo. Kuna mwanamama fulani miaka ya nyuma niliwahi msaidia kutatua shida yake aliyokuwa akiamini ni kubwa mno kwake yeye kuweza kuimudu. Ni kama nilifumfyatua koki yake inayoshikilia ule ute ute na utelezi unaowatoka~ga mnapokuwa na nyegge [emoji3] maana alinisogelea weeeee hadi ikabidi aniambie tu kuwa pasipo kunivulia chuppi nimsugue uchi wake anahisi nafsi yake hairidhiki na hakuna namna nyingine anaridhika kuona kanishukuru kwa kusaidia kutatua tatizo lake
Sure mkuu hii kawaida sanaaa kwa haa dada zetu
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Ila papuchi yako naitamani kichiziiiii
 
Si umpe hata mara moja uendelee na mambo mengine mzee.
 
Huyo ana nia ya kutaka kuvunja ndoa yako, usikute yupo singo na anakuwaza wewe kama suluhisho la moyo wake. Wanawake wanapenda sana kupenda pabaya (kulazimisha penzi) ndiyo maana unakuta mtu kazaa watoto wanne mpaka tano na midume tofauti tofauti, mwisho wa siku anatafuta mwanmme wa kutunza watoto aliozaa na vibaka wa mtaani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dada ni kawaida kufikiria kuonesha return kwa mtu aliekusaidia jambo hii ni hali ya kibinadam kabisaa mfano hapa kwangu nina vimigomba na mipapai nimepanda so ikitokea nimevuna ndizi nawagawia baadhi ya majiran kiasi hii imefanya majirani nao wakivuna vindizi vyao nao wanaleta kwangu mfano mwingine kuna jiran yangu ni mwislam mm mkristo so sikukuu kama pasaka au X mass wife akipika mapochopocho yake anaweka kwenye hotpot anawapelekea hio nadhan imefanya nao sikukuu za Eid zikifika wakipika nao wanatugawia chakula...the same applies kwa hao wanawake ambao wanasaidiwa na wanasaidiwa then wanaoffer papuchi
Msaada wa kiubinadamu ni mzuri na ku return favor ni muhimu Ila sio nimekupa msaada utake kunirudishia favor ya ngono hyo sikubaliani nayo
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Dah kumbe jamaa bado wanawake eeeh? Wanawake wanahitaji hakika ya mtu aliyenaye bhas aonekane anajaliwa nn na vitu vying akihis Yuko salama unapewa kwahy no juu yk kujikinga na MACHAFU ya ULIMWENGU huu
 
Back
Top Bottom