Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Ubarikiwe sana ndugu
 
kama
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Kama unaona inakufaa wewe kwa kupiga piga miasha menyewe ndo hay haya mzee kakupa mwenyewe na kupiga ushindwe hata ngom haisimami nenda kwa babu akupe mcongo hata siku moja ....haya mambo wengine tunatafuta kwa nguu we unaisogeza mkuu
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Uchafu tena?! Back to the topic kutokutaka kutumia papuchi ya mtu sio dhambi. Ni kitu sahihi pia. Pamoja na udhaifu huo. Mtoa mada anaweza kabaki na msimamo wake you na bila kuziumiza hisia za mtoto wa watu.

Unaweza kupanga muda ukakutana naye pahala ukamwambia kuhusu kutambua hisia zake na kwann hauwezi kuwa naye katika mahusiano kwa upendo na mkaendelea kuhusiana kwa namna nyingine.

Issue ya mtu kuonesha hisia zake kwako regardless na motive aliyohayo kwako ni jambo kubwa ni busara kuliheshimu na kuli-attend kwa namna bora zaidi.

Kuonesha za mapenzi sio dhambi. Ku-abuse hisia za mtu ni immaturity.
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Huyo ana nia ya kutaka kuvunja ndoa yako, usikute yupo singo na anakuwaza wewe kama suluhisho la moyo wake. Wanawake wanapenda sana kupenda pabaya (kulazimisha penzi) ndiyo maana unakuta mtu kazaa watoto wanne mpaka tano na midume tofauti tofauti, mwisho wa siku anatafuta mwanmme wa kutunza watoto aliozaa na vibaka wa mtaani.
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Mzarau mbususu ufalme wa mungu hatauona[emoji16]
 
Wanawake mda mwingine hua wanajichanganya wenyewe.

Nilikuwa naendesha pikipiki siku frani hivi, njiani nikakuta mdada, akanisimamisha nakuniomba lift, kwavile sikuwa na mzigo nikampakia nakuanza safari.

Safari ilikuwa kimya kimya bila stori yoyote Hadi nilipomshushia.

Siku nyingine nikaonana naye nikiwa Sina pikipiki katika mazingira frani alikuwa amekaa.

Akaniita nakuniambia njaa inamuuma nimnunulie viyepe huku akiwa anatabasamu lakuvutia, kwa upole nikamwambia Sina hela nakumwahidi siku nyingine ntamnunulia.

Kwakweli nilimshangaa Sana Yule dada yaani msaada wa pikipiki Basi anataka niwe msaada wake wakila kitu, hivyo Hawa wanawake wanajichanganya wenyewe.
 
Back
Top Bottom