Pesa hazina mwisho.. kadili pesa unavyozidi kuwa nazo na wigo wa mzinga kuongezeka.. solution kuwa na mtu mwenye kipato kutoka familia nzuri mizinga itapungua kiasi fulaniSababu ni nyingi kikubwa tutafute hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa hazina mwisho.. kadili pesa unavyozidi kuwa nazo na wigo wa mzinga kuongezeka.. solution kuwa na mtu mwenye kipato kutoka familia nzuri mizinga itapungua kiasi fulaniSababu ni nyingi kikubwa tutafute hela.
Kwa nyakati hizi, naona ni wote tu wanataka maisha mazuri
Shida Sana mkuu, hii inssu haiusiani na kukashifu makabila ila kuna baadhi ya jamii zenye asili ya mikoa kadhaa hapa nchini wanasifika kwa tabia za namna hii including me[emoji23]Nasikia mpaka wanawake wa kitanga kama hujitumi kulipia watoto shule wanaanza masimango. Mambo yanaendelea kubadilika
Mwanamke ni mtu wa kupenda dezo sasa kama hela huna atapataje vya dezo😂?Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi.
kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani.
Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza.
Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato.
![]()
![]()
![]()