Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Nasikia mpaka wanawake wa kitanga kama hujitumi kulipia watoto shule wanaanza masimango. Mambo yanaendelea kubadilika
Shida Sana mkuu, hii inssu haiusiani na kukashifu makabila ila kuna baadhi ya jamii zenye asili ya mikoa kadhaa hapa nchini wanasifika kwa tabia za namna hii including me[emoji23]
 
Mwanamke ni mtu wa kupenda dezo sasa kama hela huna atapataje vya dezo😂?

Kuwajibika hawataki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…