Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Idadi ya siku za mwaka itapendeza zaidi.
[HASHTAG]#365[/HASHTAG]
 
Dada uzi wako umenifurahisha ujue.

Mie najionea hakuna cha idadi ila zikiwa nyingi kuanzia hata 10 ndio vizuri na pale zinapoonyesha kuanza kuchoka ni vyema zikanunuliwa nyingine ili kuepusha kuvaa mpaka ziwe na matobo au mpaka hapo katikati pawe peusi tii.

Pia sio vyema pichu zote kuvaliwa kwa wakati mmoja sababu mtu asipokuwa makini zote zinachakaa kwa wakati mmoja na kwa upande wangu najionea ni vyema kuwepo pichu maalum za kubana kwa ajili ya zile siku tunazokuwa tumeruka kule angani.

Sio mtu ile siku ya kuruka basi unakuta pichu imelegea hiyo yaani hata hakuna kukaa kwa amani ila kama umevaa ya kubana inakuwa poa sana.
 
Naomba kwanz jib wewe
 
Kwahyo una chupi ngapi swahiba
 
Kuwa kama Miss Natafuta, yeye hana budget ya vinguo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…