Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Mimi zangu hazina idadi aisee maana nanunua mara kwa mara
 
[emoji17] mbona umenigusa jaman nina boxa nne zina mwaka wa pili sasa zimetoboka huku chini yani...
 
Me napenda tu kunusa pichu inapovuliwa baaac na nshakuwa addicted...nmekuwa kama beberu yani
 
Zipi rangi zinazokuvutia kuwa nazo Sakayo?

Sijui ka unaweza vaa mpaka ichakae bila kununua nyingine, sababu zinatoka za kila dizaini na unavutiwa kununua!!!
 
Hakunaga kitu kinachonisisimuaga kama kuona Yale malinda ya chupi kiunoni mwa mwanamke mfano akiinama au ikionekana kwa vyovyote vile
 
Hahaha mi naona wanawake kuvaa pichu ni mkijiingizea gharama za mausha tu. Wanawake mnavaa pichu ili kuzuia nini?! Nini kitadondoka au kukaa vibaya usipovaa?! Pichu kwa wanawake ni sawa na kuvaa bangili mkononi tu. Yani hata usipovaa haina tofauti. Hivyo mwanamke jipunguzie gharama, achana na uvaaji wa pichu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…