Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,621
We unazo ngapi bibie?Lohhhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unazo ngapi bibie?Lohhhhh
NdioHuwa unaanika kufuli nje kwny kamba?!
Karibu mkuuMkuu comments zako huwa zinanikosha sana.
Ndio
[emoji17] mbona umenigusa jaman nina boxa nne zina mwaka wa pili sasa zimetoboka huku chini yani...Hivi vitu vinaendana na hobby ya MTU pia,kubadili pichu na bra ni hobby kama hobby nyingine,mwingine, mfano anaanza nayo tangu anasoma certificate mpka mastaz anadunda nayo tuu,na sio kwamba hana uwezo wa kubadili LA hasha,ni basi tuu....me naona nikujiwekea utaratibu tuu mwenyewe ubadili baada ya muda gani baasi.
Sijui ka unaweza vaa mpaka ichakae bila kununua nyingine, sababu zinatoka za kila dizaini na unavutiwa kununua!!!
Unataka niongee hapa???? Watu watanchungulia aki...Zipi rangi zinazokuvutia kuwa nazo Sakayo?
Unataka niongee hapa???? Watu watanchungulia aki...
[emoji23] [emoji23] kazichome moto buanaa[emoji17] mbona umenigusa jaman nina boxa nne zina mwaka wa pili sasa zimetoboka huku chini yani...
Nadhani ni ile harufu, chumvi chumvi iliyopo pale pamoja na joto lakeHivi nini husababisha / kupelekea chupi za wadada kutoboka/kuchakaa haraka makao mkuu!!??
HahahaKumbe una aibu eh! Na hupendi watu wakuchungulie.[emoji4][emoji4][emoji4]
Hahaha
Ndiwoo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kigezo cha picchu kuchafuka ni kipi B?