Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Hivi vitu vinaendana na hobby ya MTU pia,kubadili pichu na bra ni hobby kama hobby nyingine,mwingine, mfano anaanza nayo tangu anasoma certificate mpka mastaz anadunda nayo tuu,na sio kwamba hana uwezo wa kubadili LA hasha,ni basi tuu....me naona nikujiwekea utaratibu tuu mwenyewe ubadili baada ya muda gani baasi.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Shoga hawa ni kiboko.
 
[emoji1] [emoji1] Haya swahiba

Si ungeninong'oneza pembeni tu swahiba[emoji1] [emoji1]
Duuh. Swahiba ujue kuna baadhi ya maswali saa nyingine hata kumnong'oneza mtu majibu yake pembeni hayafai kabisa Swahiba. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kuna ke ni nouma shogaangu acha tuu,siku akibadili Mvua inanyesha maana hata mbingu zinashtuka haziamini[emoji23]
Hahahaaa. Kweli hapo lazima mbingu ishangae. Yaani hao hawana moyo wa kukinai nguo sababu kikawaida inafikia kipindi nguo inachosha na inahitajika kubadilishwa.

Kama hao hawaoni shida kuwa na uzi na sindano yaani kila mkanda wa brazia ukikatika anaushona kisa tu hajajipangia kununua nyingine.

Hatari sana shoga angu.
 
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
Tutumie na picha kabisa za pichu ili iwe rahisi kukupa ushauri ulio bora na wa kitaalamu zaidi....
 
Mbona chupi zimepitwa na wakati!,zinasaidia nn?waacheni wadada wajiachie kwanza joto na ndio chanzo cha fungus.
 
Back
Top Bottom