Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

Seen .
 
Mwanamke ukimpigia simu mara tatu mida tofauti ndani ya saa 24 hajapokea au hajakurudia baada ya kuona missed calls, mwanamke ukimpigia simu kila wakati anakata anakuambia kun amtu anapiga subiri, mwanamke akikuzimia simu au akikublock .

Unapaswa ujue kwamba hakuhitaji na haijalishi atakubembeleza kiasi gani unatakiwa ujue anakuchezea akili ili usimuone mbaya
 
Muda anazima Simu anakua anagongwa hataki mambo ya kuulizwa "Upo wapi!?"
 
Akiwa kazima simu anakuwa wapi? usikute anagongwa huko!!
Hata asipo zima simu akiamua kugongwa anagongwa tuu,,,tuache kuendekeza mapenzi kimitandao na pia tuache kulazimisha mapenzi tuwe fleksibo na maisha tuache kukompliketi,,Maisha na wewe Kwanza hao wengine na hayo mengine ni ya ziada tuu
 
Tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…