Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

Kama mzigo anatoa fresh, kuzima simu sio tatizo
 
Mwanamke kama hakupendi anakuwa anakutafutia sababu ya kukuumiza ili umuache na maisha yake.

Kuzimiwa simu ni moja ya sababu aliyotumia huyo mwanamke.

Amuache, atamtesa sana akimuoa.
 
nilichuniwa miezi mi 4 leo nmepigiwa naulozwa jinsi ya kujiunga instagram
 
Mkuu unayajua madeni ya kausha damu? ya vicoba je! Usikute anazima simu sababu hizo
 
Acha kuchunguza mahusiano ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…