Mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli

Gerald1

Senior Member
Joined
Jan 17, 2022
Posts
107
Reaction score
147
sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
Screenshot_20240204-000138.jpg
 
sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
Ataniumizaje?,eti anicheat?, hapo atakuwa anajiumiza mwenyewe maana nikijua ananicheat nitaoa mke mdogo, then na yeye nimwambie afanye kama nilivyofanya
 
Mbona ghaflaa sana? Kwani imekuajeee?
amefeli kucheza na hisia zake!
sio kila mtu anauweza huo mchezo!,hapo ndipo wengi hufanya wasivyovipenda hapo ndio wanaoujua huo mchezo hucheza vizuri nakufanya wasioujua wapate maumivu!
 
sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
Jipige KIFUANI sema Mimi ni MWANAUME.
 
We piga panadol na maji mengi alafu kausha
 
amefeli kucheza na hisia zake!
sio kila mtu anauweza huo mchezo!,hapo ndipo wengi hufanya wasivyovipenda hapo ndio wanaoujua huo mchezo hucheza vizuri nakufanya wasioujua wapate maumivu!
Swadaktaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom